WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Sasa mnahoji kwa nini hakuna kinga ya Malaria au TB kwani na nyie mchango wenu ni nini? hamjazuiwa kuingia maabara na kuja na chanjo ya Malaria au TB.
 
Sio kigezo cha kusem kuwa ndio hajatawaliwa kifikra kam sio kwann toka aend ulaya akidai kurud kwao ethiopia hawakubal mkuuu angalia
Hawakubali kivipi? Lini alihitaji kwenda kwao akakataliwa?

Hebu weka ushahidi tu hapa mkuu
 
Mtu hajui chochote kuhusu immunology ukianza kubishana nae hapa ni kupoteza muda
 
Big No.

We are free, even when we are not free at 100% hakuna anayewazuia madaktari wetu kujifungia maabara na kubuni au kutengeneza chanjo yoyote ile

Mbona kujifukiza na kutumia local medicine hakuna anayetuzuia?

Hakuna Mzungu yeyote anayemwondolea Mtu mweusi hali ya kutojiamini, kutojiamini kupo ndani ya Mtu mweusi tu tangu awali.

''Blacks are not curious'' ''Blacks are not aggressive''

Nilishahoji humu kuwa hivi SUA ina umuhimu gani kwa wakulima wa Tanzania ambao ni zaidi ya 70% ? Ikiwa:-

Mbegu bora za mazao zinatoka nje mostly S.Africa, Netherlands, Brazil, Kenya na USA

Pembejeo zinatoka nje kuanzia trekta ya kulimia na mashine za kupandia, kupalilia na kuvunia

Mbegu bora ya mifugo zinatoka nje mostly Israel, Uholanzi na Uingereza

Dawa za mimea na mifugo zinatoka nje ya Tanzania

Sasa kwa miaka yote SUA ipo pale graduates wa kutoka pale wanagundua au kubuni nini wao????


Watu weusi tusitafute kujitetea bure.
 
Mbaya zaidi aliye andika utakuta ni mtu wa HKL tena mwenye four alafu anakaa anajifanya amekua dokta.

Wabongo tuna kwama wapi?
 
Unajua maana ya Hoja? Wewe mavi kweli. Lini magufuli kaongea hoja kenge wewe
 
Kama kawaida yao walikaa wakajifungia wakaangalia projections ya ukuaji wa uchumi wao wakaona mchina anawatimulia vumbi kila walichokuwa wanamtishia anacho na vingine anavyo vya ziada yaani ana mtaji wa rasilimali watu,

Iko hivi walipoona viashiria vyote vya Ufalme wa China kwenye uchumi wa Dunia walijipanga kumdhibiti mchina kwa kumharibia taswira yake kiuchumi ndio maana wanajeshi wa Marekani wakishirikiana kwa karibu na Taasisi za kijasusi za Marekani walifanikiwa kuisambaza Corona iliyorutubishwa China

Mapema sana baada ya kuusambaza WHO ilishinikizwa itoe maelekezo ya kuiblock China na kuitangaza kwa mitazamo hasi

China kupitia kampuni yake ya HUAWEI ilisaidia majasusi wa kichina kuujua mpango kamili, China wakamuita Mkurugenzi mkuu WHO wakampanga mapema kabla ya Trump hajailazimisha WHO kuiblock China
.
Mkurugenzi WHO walikuwa na kiburi cha kutofuata maagizo ya marekani kwa sababu aliahidiwa murungura maradufu
.
Haya mambo sisi Waafrika tuko kwenye mkumbo tu lkn wababe wanaogombania Ufalme wa Dunia ndio wanaopigana kuhakisha kwamba wanzimana waendelee kutawala
..
 

Sijui nikupongeze vipi, kuhusu uchambuzi wako wenye mshiko, mengi uliyo eleza hapa ndio watanzania tuna wajibu wa kuji hoji kwa kina na kumuunga mkono JPM katika juhudi zake za kulivusha Taifa letu Rubicon na sio kumbeza beza.

Pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale kama binadamu wote tulivyo lakini ukweli utabaki kwamba JPM ni binadamu mbunifu,mwenye uthubutu na mwenye akili sana za kuchambanua /baini mengi ambayo kwa wengi wetu si rahisi kuyaona mapema zaidi kabla mambo hayaja haribika,I know maoni yangu haya yatawafanya baadhi yenu m
kunijia juu na kunisema mambo ya kutunga tu - lakini hakuna anaye jihoji hivi inakuwaje huyu binadamu akabuni almost Seven major projects za kuletea maendeleo Taifa letu, anazisimamia na kuzifatilia to the letter - ndani ya miaka minne amefanya mambo ya kuishangaza Dunia pamoja na viongozi wakuu wa Taifa letu walio mtangulia,one may ask sasa haya ninayo yasema hapa yana uhusiano gani na chanjo za COVID-19 - uhusiano hupo sana,kama aliweza kubuni na kupanga masuala ya meandeleo yenye uhakika na akafanikiwa against all odds which means ni binadamu muona mbali anaye chambua mambo kwa kina kabla haja tekeleza, sasa anapo tahadhalisha kuhusu matumizi ya chanjo zinazo zalishwa kutoka kwenye source moja bila ya kuwachia Mataifa ya decide kama ikibidi wanunue chanjo kutoka kwenye alternative sources na siyo WHO kuwekea Mataifa shinikizo la kununua chanjo kutoka makampuni fulani or else, ukiangalia kiundani chanjo zinazo pigiwa debe na WHO mtu anaona ni unafiki mtupu - sina shaka hayo Dk.Magufuli ameyabaini mapema sana ndiyo maana katoa tahadhali kwa Wizara ya afya na Watanzania wote - wanao mbeza wana lao jambo, wengi wetu tupo pamoja nae, narudia kukumusha tena kwamba JPM amekwisha soma mchezo mzima akagunduwa jamaa hawa wanatuchezea akili, korona hipo kweli, lakini si kwa kiwango cha kutisha kivile.

Ni kweli kabisa kwamba Taifa lililo gunduwa chanjo kwa mara ya kwanza Duniani ni Urusi, lakini cha ajabu uvumbuzi huo ulipokelewa in luke warm na makampuni shindani ya magharibi wakaanza kampeini zao za kuipiga vita eti Warusi wali cut corners ndio maana wamefanikiwa in a record time, Trump kasema Warusi wali-hack data base za maabara tafiti za USA na Ujerumani na kuwaibia siri za chanjo ya korona ndio maana Warusi wamefanikiwa!

Afisa mmoja katika Serikali ya Trump alikwenda mbali zaidi kwa kusema kwamba chanjo ya Urusi hawezi kumchanja hata mbwa wake - just imagine.

China ilikuwa na kampuni tatu zilizo jihusisha katika tafiti za chanjo za korona, wamefanikiwa na wanasema chanjo zao kama zilivyo chanjo za Urusi zina uwezo wa kuwa effective dhidi ya korona by 95.5% hilo halisemwi na MSM za magharibi, tukija WHO nayo ugusia kidogo kuhusu chanjo za kichina, WHO wanajidai kuweka chanjo za China kwenye list ya potential vaccines za korona lakini stori inaishia hapo,badala yake nguvu kubwa za Uongozi wa WHO kupigia debe chanjo za makumpuni ya Merikani na Ulaya specifically Pfizer/Oxford-Zeneca/Moderna - cha ajabu Uongozi wa WHO hawazungumzii chochote kuhusu chanjo zinazo zalishwa na Kampuni za Urusi na China - hii inaleta picha gani,binafsi nafikiri mifano kama hiyo ndiyo inamfanya JPM anajiulize maswali mengi na kuguduwa kinacho endelea nyuma ya pazia, semeni lolote kumuhusu yeye,lakini siku moja niliwahi kumsikia Trump akimuunga mkono Dk. Magufuli kuhusu kushtukia kwake mashine zilizo kuwa zinapima virus vya korona, alisema baadhi ya mashine zinatoa tawimu za kugushi/zimechezewa ili ku-inflate idadi ya maabukizi, wahusika wakiwa na malengo mawili - lengo la kwanza ni Political, walitaka kuleta taharuki kwa raia ili Trump hasichaguliwe tena for a second term in office for failing to deal with Corona effectively - lengo la pili ni kutisha tisha Serikali za mataifa mbali mbali Duniani kwa takwinu za maambukizi nchini mwao ili yakimbilie kununua chanjo za Makampuni ambayo yalikwisha kuwa earmarked na WHO kuuza chanjo zao ili Makampuni hayo yavune fedha ndefu big time.
 

Haya hayako humu kweli?


Kazi mnayo!
 
Waliogonga cha Madagascar waombwa na wadau kutoa mfano kwa hivi vipimo vipya vya Korona kutoka China!
... This will definitely cement our ties with our communist allies!
πŸ‘Š πŸ˜… ✌️ πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…