Nawaonea wivu vijana wetu wa sasa kwani wanakuwa na fikra
Nyinyi vijana mnaosoma historia iliyoandikwa chini ya mfumo na sera zake hamuwezi kumjua vizuri Nyerere.Waulizeni kina Zacharia Hans na wenzake ni kitu gani kilichowafanya watake kumpindua huyu mchonga meno.
Jasusi and Inc.
Kwa data zako na za wenzako mnaomuunga mkono sana Nyerere, inaonyesha mmekula chumvi nyingi.
Swali langu ni kuwa Nyerere aling'atuka na kurudi kijiji Butiama, mtarudi lini vijiji hili mfuate nyayo zake?
Wote mnaomsifia Nyerere hapa, ni wapigaji kelele na porojo tu. Sioni mfano wowote unaoonyesha kuwa kuna wanaomfuata.

duh! we ndio unastukia? jamaaz ni vidingi flani hivi na ni "old guards." Hata useme nini hawata kubali ng'o, kwa ufupi wamesha-cram, bongo zao zimedinda, kuendelea kubushana nao juu ya Nyerere ni kupoteza muda.
mjadala mwema..
Bongo zao zimedinda, eh? Ndiyo hiyo mindset yenu mkipewa the other side of the coin mnawaita watu kuwa bongo zilizodinda? Can we discuss issues without calling names?[/QUOTE]
...acha kulialia mtu mzima, wewe ni kidingi flani (hiyo haina ubishi), ndio maana una mawazo ya kizee ya kudumisha fikra ambazo sisi vijana wa sasa tunaona ndizo hasa zilizotuharibia nchi!! kama nipo rough na wewe, too bad, lakini habari ndio hiyo...huwezi kuelewa!!

Au contraire,
Waulize wanangu watakwambia kuwa mimi ni mzee kijana mwenye mtazamo wa kileo kabisa kabisa. Tukate issues tu bila kuitana majina. Kwanza ninyi vijana mna fikra gani ambazo unadhani zitatuletea maendeleo? Nipe mfano kijana.
Katika hilo kundi mwondoe Eli Anangisye. Huyu kesi yake ilikuwa tofauti. Alishiriki katika njama za Kambona kutaka kupindua serikali. Choga naye. Dourado kesi yake siijui. Mimi si mfuatiliaji sana wa mambo ya Zanzibar.
Lakini kitu ambacho nataka kusema ni lazima tuelewe hali iliyokuwepo Afrika kote wakati huo. Nkrumah alipinduliwa na jeshi aliloliamini. Ahmed Ben Bella alipinduliwa na right-hand man wake. Nyerere alishtuka pale balozi wa Algeria Dar-es-Salaam aliporudi nyumbani kuwa Foreign Minister katika serikali iliyompindua Ben Bella. Gamal Nasser alikuwa ameshamalizwa na njama za Marekani na Mayahudi. Kambona alijaribu mara mbili kupindua serikali. Nakumbuka katika interview na Peter Enahoro mwaka 1971 kuadhimisha miaka kumi ya uhuru Mwalimu aliulizwa ataje baadhi ya mafanikio yake akajibu "we have survived." The fact that survival was measured as success says a million to me. Kwa hiyo kama kuwatia kizuizini kulisadia survival ya serikali so be it.
duh! we ndio unastukia? jamaaz ni vidingi flani hivi na ni "old guards." Hata useme nini hawata kubali ng'o, kwa ufupi wamesha-cram, bongo zao zimedinda, kuendelea kubishana nao juu ya Nyerere ni kupoteza muda.
mjadala mwema..
Tatizo la waafrika ni kuwa hile system ya hierarchy ya udingi. Mtu akiwa dingi anataka kulazimisha point zake hata kama zimepitwa na wakati kwa sababu yeye ni mtu mzima na alisikiliza hotuba za Nyerere.
Hotuba za Nyerere sio shule ni siasa. Na ukipiga analysis zote utaona kuwa Nyerere alichemsha.
Baada ya kuporomoka kwa mkonge Nyerere anasema alifanya makosa kwa sababu serikali haina expertise ya kuendesha mashamba. Serikali inayoshindwa kuendesha vitu vya low tech kama mashamba ya mkonge, je inaweza kuendesha kiwanda cha magari? Je inaweza kuendesha mashule? Je inaweza kuendesha ujenzi wa mabarabara?
Mtu anaye-admit failure katika uongozi wa kitu kimoja basi atakuwa na uwalakini katika sehemu nyingine.

I like your points.....
Tatizo la waafrika ni kuwa hile system ya hierarchy ya udingi. Mtu akiwa dingi anataka kulazimisha point zake hata kama zimepitwa na wakati kwa sababu yeye ni mtu mzima na alisikiliza hotuba za Nyerere.?
Hotuba za Nyerere sio shule ni siasa. Na ukipiga analysis zote utaona kuwa Nyerere alichemsha.
Baada ya kuporomoka kwa mkonge Nyerere anasema alifanya makosa kwa sababu serikali haina expertise ya kuendesha mashamba. Serikali inayoshindwa kuendesha vitu vya low tech kama mashamba ya mkonge, je inaweza kuendesha kiwanda cha magari? Je inaweza kuendesha mashule? Je inaweza kuendesha ujenzi wa mabarabara?
Mtu anaye-admit failure katika uongozi wa kitu kimoja basi atakuwa na uwalakini katika sehemu nyingine.
Nyerere did his best...
Mbona nimeshuhudia hapa vijana wakijaribu zaidi kulazimisha point zao kwa kuita wengine majina ya kashfa? Unaweza usikubaliane na mengi aliyoyafanya Mwalimu Nyerere lakini haingii kwenye kundi moja la kuitwa nduli kama Idi Amin. Unaweza usikubaliane na mimi lakini you do not have to call me names. Gonga hoja kwa hoja usiniite naive, because I have not called your points naive. So it goes both ways. Remember that when one finger points at me 4 are pointing at you. Changamoto kwenu vijana: kujeni na sera zitakazoiendeleza Tanzania. Nyerere did his best, amewaachieni mantle. Sasa tuambieni mna vision gani badala ya kukaa na kulalama tu miaka 23 tangu mzee wa watu aachie ngazi na 9 tangu aende kwa mola wake.
Hoja hii ina mushkeli.
"Did his best" is not an excuse for not doing the best.
We don't want or care for his best. We want the best.
If it were Ok to just do your best, no one would ever get fired from their job so long as they did their best.
We want the best that the people expect.
If you fall short of our best don't tell us you did your best!
Rev fikiria hichi wewe mtoto baba yako anakuambia kwamba sitaki wageni so and so kwa sababu wametumwa wananisumbua, kwa hiyo inabidi kuwaambia hayupo na anakuwa hana raha wakija. Hakujenga nyumba yeyote kwa sababu ya woga, na sio kwamba alikuwa hana uwezo wa kujenga pale Tanzania, lakini kabla hajafa alikuwa na woga sana mpaka aliondoka na mama kuangalia nyumba ya sisi kuishi nje ya nchi (Switzerland) na ndio ilikuwa safari yake ya mwisho nje ya nchi, na kulikuwa na matatizo yeye kwenda kutibiwa nje, ingawa tulikuwa watoto mambo mengine tulikuwa hatuelewi sana, (unajua watu wazima Bongo hawawaambii watoto what is goin on). As mtoto nilikuwa sina wasiwasi kwa sababu maisha yalikuwa mazuri tuu kwangu lakini kuona Baba ana furaha halafu wageni wanakuja furaha inaisha ilikuwa miyeyusho.Lusajo,
If you do not mind, je kwa nini Mzazi wako na familia yenu mliishi kwa wasiwasi? Je alifanya nini mpaka Nyerere akawa anamwinda
Samahani kuuliza hili na kutoka nje ya mada.
Ukitaka kumjua Nyrere alikuwa mtu wa aina gani usiende mbali chunguza hali za wanae.Kama alishindwa kuwalea hao angeweza vipi kutawala nchi?
Makongoro,Madaraka na wengineo hakuna hata mmoja aliyeweza kupata elimu ya maana.