Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Date::2/7/2009
Kunguni waliupekecha ujamaa Tanzania–Mwinyi

Katika mkutano huo pia Mwinyi alivaa sura ya ubaba wa taifa kama alivyofanya akiwa Mbeya Vijijini, alipowataka wapiga kura kuchagua kiongozi wanayeona anafaa bila kujali vyama, pale aliposisitiza ushirikiano baina vyama vyote vya siasa, akiwataka wana-CCM kuimarisha uhusiano na vyama vya upinzani.

Alisema wapinzani sio maadui, na kwamba Watanzania walikubali wenyewe mfumo wa vyama vingi, yeye akiwa mwasisi wa mfumo huo, licha ya kwamba asilimia 80 walikuwa wameukataa maoni ya asilimia 20 ya watu waliohojiwa yalikubaliwa.

Lakini rais huyo mstaafu tangu mwaka 1995, aliwatupia wapinzani dongo la kushindwa kwao kukua: "tangu wakati huo wamebaki na asilimia 20 zao na CCM imebaki na ushindi wake wa asilimia 80," alisema.

.​

Hapa Mzee Mwinyi umesema kweli wakuchaguliwa ni yule anayefaa. Lakini kwa hili la wapinzani kubaki na 20% ni kwamba bado CCM inapekechapekecha upinzani kama Kunguni kwa sheria mbovu, tume ya uchaguzi, kuiba kura nk​
 
Kitu ambacho mheshimiwa Mwinyi ameshindwa kukikemea ni mwingilio wa UWT katika masanduku ya kura. Bila UWT upinzani usingebaki na 20% kama anavyodai. Waunde Tume mpya yanuchaguzi na waondoe UWT katika kusimamia masanduku ya kura waone wapinzani wana kiasi gani cha kura Tanzania hivi leo.
 
Zakumi,
Mimi nisingekuwa na shida kama mkewe rais alikuwa mfanyibiashara kabla ya kuingia Ikulu. Why should they use Ikulu as a stepping stone? That is my question! The same applies to Mama Mkapa.

Ulichotaka wewe wafanye nini ?? Walime mchicha au kufuga n'gombe wa maziwa. Nina uhakika wangefanya hivyo usingelalamika.
 
Hapana, sio kulima mchicha. Ukiisha ingia Ikulu huhitaji biashara. Our state house should remain sancrosanct. Lazima walinde hadhi ya Ikulu. Wafanye biashara wakishamaliza muhula wao pale kama alivyofanya Clinton na mkewe. They made more money out of the White House than when they were in the White House. Sisi it seems Ikulu is a stepping stone to making cheap deals for the rulers. And these cheap deals as we have seen with Mkapa comes from stealing from the people.
 
Kwa hiyo unataka kusema Nyerere alifanya makosa kutunga vitabu akiwa Ikulu. Kwa sababu mpaka sasa anaendelea kulipwa kama mtunzi.

Na vitabu vingine vilitumika kwa sababu yeye alikuwa ni rais tu lakini bila cheo hicho hakuna ambaye angenunua.
 
Kitu ambacho mheshimiwa Mwinyi ameshindwa kukikemea ni mwingilio wa UWT katika masanduku ya kura. Bila UWT upinzani usingebaki na 20% kama anavyodai. Waunde Tume mpya yanuchaguzi na waondoe UWT katika kusimamia masanduku ya kura waone wapinzani wana kiasi gani cha kura Tanzania hivi leo.

Walete mgombea huru tu.
 
Mzee Mwinyi ni kunguni mwingine tu aliyetafuna taifa. Yeye na mkewe ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha biashara Ikulu, wakituuzia Stella Artois na majenereta ya umeme. Sasa anasema nini kuhusu kunguni? It takes one to know one.

Haya endelea baba na chuki zako binafsi maana kauli nyingine msemaji mwenyewe anaona haya anasema na kigugumizi kweli tenda wema wende zako usingoje shukrani hii ndio sababu waafrika hatuendi kokote.

SAHIBA.
 
Kitu ambacho mheshimiwa Mwinyi ameshindwa kukikemea ni mwingilio wa UWT katika masanduku ya kura. Bila UWT upinzani usingebaki na 20% kama anavyodai. Waunde Tume mpya yanuchaguzi na waondoe UWT katika kusimamia masanduku ya kura waone wapinzani wana kiasi gani cha kura Tanzania hivi leo.

Sasa hao walomfuatia kwa nini wasirekebishe hayo makosa ?
 
..Kwa sababu nao wanafaidika na status quo---mwingilio was UWT mpaka wanapata 80% ya kura. Warekebishe nini kumbe ndio wanaofaidika?
 
Jasusi:

Wakati mwingine sioni kwanini mna wahukumu watu tu. Inaonyesha Tanzania watu wakifanya biashara primitive mnawakubali. Na wakifanya biashara yenye mtaji mnawakataa.

Kwa mfano rais akiwa anafanya biashara ya kuuza mihogo au mchicha kutoka kwenye shamba lake haonekani mbaya.

Lakini akifanya biashara ambayo watanzania wengine hamwezi tayari anakiuka miiko.

Mama Siti Mwinyi alikamatwa na Mrema pale Dar Airport akitokea Z'bar na madini . Kama tujuavyo Z'bar hakuna madini yoyote ana likuwa anayasafirisha nje ya nchi ili akachangamke na kuyauza. Hiyo si siri, pia kulikuwa na ufisadi mwingi tu wakati wa awamu ya pili hiyo si siri. Sasa kudai wakati wa enzi za Nyerere kulikuwa na kunguni wengi na kusahau kunguni waliokuwamo ndani ya awamu ya pili, ya tatu na ya nne ni unafiki wa hali ya juu.

Anamsifia Kikwete kafanya mazuri, sijui mazuri gani aliyoyafanya, maana katika ahadi zake wakati wa kampeni hakuna hata moja aliyoitimiza.
 
Ulichotaka wewe wafanye nini ?? Walime mchicha au kufuga n'gombe wa maziwa. Nina uhakika wangefanya hivyo usingelalamika.

Wako watu wanalima mchicha, kufunga ng'ombe wa maziwa n.k. hawa wanaishi kwa kipato halali siyo kama wanaotaka uongozi ili wakaitumie Ikulu kufanya uharamia wao na kuwafisadi Watanzania na kukidhi uroho wao wa utajiri wa haraka haraka.
 
Ndio bubu wakalime kama Mkapa analima miwa kule Morogoro na Lowasa ananunua ardhi left and wright kwa pesa za ufisadi and then kuna tofauti ya honest mistake na ufisadi so Mwalimu alitufisadi.

SAHIBA.
 
Alisema wapinzani sio maadui, na kwamba Watanzania walikubali wenyewe mfumo wa vyama vingi, yeye akiwa mwasisi wa mfumo huo, licha ya kwamba asilimia 80 walikuwa wameukataa maoni ya asilimia 20 ya watu waliohojiwa yalikubaliwa.

Lakini rais huyo mstaafu tangu mwaka 1995, aliwatupia wapinzani dongo la kushindwa kwao kukua: "tangu wakati huo wamebaki na asilimia 20 zao na CCM imebaki na ushindi wake wa asilimia 80," alisema.

- Pamoja na mapungufu yote ya Mwinyi, kuanzia uongozi na maneno yake mengi kwenye hii hotuba, bado haya maneno yake mazito sana yanasimama kama yalivyo, na ni changamoto kubwa kwa pande zote mbili za siasa kuyafanyia kazi na hasa upinzani.
 
Sahiba: usifanye kosa kama wengine kufikiri kwamba ukosoaji wa kiongozi ni chuki binafsi, but there are facts that point to Mwinyi's household kuwa involved na biashara, mzee akiwa Ikulu.
Zakumi: Nyerere kuandika vitabu huwezi kufananisha na kufanya biashara. Naomba nikupe mfano wa Dick Cheney ambaye ana hisa katika makampuni makubwa ya mafuta na nyingine ya silaha. Hisa zake alikuwa nazo kabla hajapata umakamu rais, ilibidi azitangaze hadharani na alijiuzulu kutoka bodi ya wakurugenzi na hakuruhusiwa kuchukua dividend yoyote kwa miaka yote akiwa katika wadhifa wake. Na pamoja na yote haya bado wananchi wa Marekani walimsimamia na kumkaba koo kuhusu hisa hizi.
Kuhusu vitabu huwezi kulinganisha royalty ya vitabu na a standing and running business.
First Lady ni sehemu ya Urais huwezi kutenganisha. Anapomaliza muda wake Rais basi yeye na mke wake wana nafasi ya kufanya biashara wanayotaka, chukulia mfano wa Jimmy Carter and Bill Clinton.
Mi nakubaliana na Jasusi, it was an unfortunate statement from Mwinyi kusema masuala ya kunguni katika awamu ya kwanza na kujaribu kumsafisha JK, wakati awamu yake ili kuwa na matatizo na hata ishu ya Rada ilianzia katika awamu yake! He should be very careful because asije akajua sasa ye ndo Baba wa Taifa, hana status hiyo na hawezi kuwa nayo!
 
Mkuu hebu tutajie biashara alizomiliki Mwinyi akiwa ikulu na anazomiliki sasa baada ya kuondoka ikulu.Repoti ya Warioba ilishindwa kutaja zaidi ya kuorodhesha kuwa Mwinyi aligawa viwanja bure kwa jamaa zake au hiyo ndio biashara ?
 
Hata kama aliwagawia bure ndugu zake viwanja hatujui ndugu zake hao hao walimlipa je fadhila hiyo. It is still corruption-kutumia madaraka yako kuwanufaisha ndugu na marafiki zako.
 
- Pamoja na mapungufu yote ya Mwinyi, kuanzia uongozi na maneno yake mengi kwenye hii hotuba, bado haya maneno yake mazito sana yanasimama kama yalivyo, na ni changamoto kubwa kwa pande zote mbili za siasa kuyafanyia kazi na hasa upinzani.

Nakubaliana na wewe FMES ni maneno ni mazito kama yalivyo maneno ya Mrema, pamoja na mapungufu yake, kuhusiana na mawaziri wabovu ndani ya serikali ya Kikwete. Kikwete asiwaogope mawaziri wake kama washkaji wake au kama yuko sawa nao katika madaraka. Bado anaogopa kuwafukuza kazi pale wanapovurunda au kuwa na tuhuma nzito za kifisadi na siku zote huwataka wajiuzulu.

Watanzania tulipomchagua tulijua hatasita kumfukuza yeyote yule ndani ya serikali yake pindi akivurunda au kufanya maamuzi yasiyokuwa na maslahi kwa Watanzania.
 
mwachine mzee watu apumzike. tujaribu kuendeleza utamaduni wetu wa kutokuwachonoa viongozi wakuu yaani state leaders wanapomaliza muda wao,hii ndio ya Tanzania iliyojijengea tangu zamani.

thx
 
kweli kabisa ni maneno mazito ni wakati muafaka kufikiria kwa makini na kuyafanyia kazi.
 
Nakubaliana na wewe FMES ni maneno ni mazito kama yalivyo maneno ya Mrema, pamoja na mapungufu yake, kuhusiana na mawaziri wabovu ndani ya serikali ya Kikwete. Kikwete asiwaogope mawaziri wake kama washkaji wake au kama yuko sawa nao katika madaraka. Bado anaogopa kuwafukuza kazi pale wanapovurunda au kuwa na tuhuma nzito za kifisadi na siku zote huwataka wajiuzulu.

Watanzania tulipomchagua tulijua hatasita kumfukuza yeyote yule ndani ya serikali yake pindi akivurunda au kufanya maamuzi yasiyokuwa na maslahi kwa Watanzania.

- Unajua mkuu Bubu, maneno yako ni sawa sawa, lakini ni lazima sasa Tanzania tukubali kwamba ya kubadili cabinet na kujizulu viongozi wa chini hayajatusadia sana so far as a nation, wakati umefika sasa kwenda mbele zaidi na uwajibikaji, majuzi kwenye kikao chake cha siri na baadhi ya mawaziri, Muungwana ameambiwa wazi kwamba wamejiuzulu wengi na wengi kuondolewa lakini bado kivuli kipo pale pale, hapa kinacho-miss ni kimoja tu nacho ni huenda ni wakati muafaka wa yeye mwenyewe mkulu wa kaya kujiuzulu au viongozi mafisadi waende mahakamani na wafungwe wakipatikana na makosa.

- Lakini huwezi kuwa na utawala wa kuheshimu sheria, kwamba mawaziri wa zamani wako rumande huku nyuma wanatokea mawaziri wako wewe mwenyewe rais kuwatafutia mawakili, sasa tutabadili cabinet mpaka lini na mauza uza kama haya? unaaanza kufikia mahali sasa tuanze kufikiria mbele zaidi ya mawaziri na uwajibikaji!
 
Back
Top Bottom