WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.

Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P

WHO haiwezi kutuma timu kama sio highly suspected! unfortunately tuna tabia ya kuficha ficha hapa haitasaidia huu ugonjwa hatua za kwanza ni kutoa elimu na contact tracing sasa hivi nilitegemea tupewe taarifa za kutoshikana mikono au hugs!

Nao Centres for Disease Control ya USA wana deploy technical team yao. Angalia hapo attachment;
 

Attachments

  • IMG-20190913-WA0043.jpg
    168.5 KB · Views: 15
Kwa habari hii sitaki kutokuitwa mzalendo! Tuchukue tahadhari wakati uchunguzi unafanyika.
 
Duh ...!
Hii kali, WHO wanasema unknown disease, wewe unasema ebola!.

Kama ni unknown, naunga mkono juhudi za serikali yetu kufanya siri ili kuzuia panic attacks.
P
Mkuu Paskalis,si ingekuwa busara serikali itoe tahadhari kwa wananchi wake?yani kweli tumefikia mahali tunapewa tahadhari na ubalozi wa marekani nchini tanzania na wizara ya afya ipo kweli?
 
Kuna mdada alikuwa bado masomoni akisomea magonjwa ya mlipuko hapa TZ, kaingia field kakumbani na unknown disease ( ebola). Yani amezikwa kama mbwa koko. Hakuna ndugu wala jmaa kuona au kuaga mwili wake.

Wapi huko ?
 
They have to investigate any possibility of ebola outbreak and notify the public accordingly ili watu wapewe tahadhari za kuchukua mapema
 

Atatoka Jiwe na Bashite watasema “USA isituingilie” wakati watu wanakufa!

Hiyo ya mtu mmoja sio kweli,watakuwa wengi tu!
 
Sawa hakuna shida hapo,ni patners wetu kutusaidia ni jambo la kawaida,kama ni kweli kuna hicho kifo...
 
Marekani wana mambo yao meeengi ya siri ktk hii dunia, kila jambo wanakuwa na taarifa mwanzo kabisa.
 
kigogo wa twiiter alishalisema hili majuzi kwamba mwanafunzi wa Uganda aliyekuwa field hapa alikufa na ebola akazikwa na jiji kimyakimya sasa inasemekana kuna familia nzima ya watu 10 iko kwenye karantini jijini dsm,wahusika wamekausha kimya labda yasije yakawakuta ya mwele malecela
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu usikae kimya. Mgeni anaposema kuna tatizo nyumbani kwako na wewe umekaa kimya. Tunaomba utoe press release haraka iwezekanavyo.
 
Hapo ndipo ninachoka mpaka meno yanatoa jasho na huu upuuz wa kibepari
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu usikae kimya. Mgeni anaposema kuna tatizo nyumbani kwako na wewe umekaa kimya. Tunaomba utoe press release haraka iwezekanavyo.
Muache agathe facts kwanza...she will come and clarify this.....with immediate effect
 
Watu wasiojulikana ni hatari sana kuliko ebola, hata huko Congo vita vinaendelea kama kawaida utafikiri hakuna ebola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…