Kwa hiyo kwa taarifa ya wengi humu ni kuwa kazaliwa ndani ya ccm, kaifaidi ccm kuliko maelfu ya mavuvuzela hata waliopo humu JF na bado ana ulinzi wa ccm kupitia baba yake.Ni Mjukuu wa Abeid Amani Karume na mtoto wa Amani Abeid Karume
Ongeeni yote..ameolewa?
Ni Legal Gown, umesahau pia na Legal wig.Mkuu, hakuna kitu tunachovaa Mawakili kinachoitwa beeb. Tuna bibs and robes. Usizungumze usivyovijua
Umejibu lkn hujaelewa mleta mada alichouliza ingekuwa upo kwenye chumba cha mtihani basi ungeruka na zeroBara na pwani wapi na wapi labda sema wote wana taalum moja ya sheria na sidhani kama undugu au chama kwa mambo ya kisheria ni issue, kikubwa kama mtu ameona kwa taalum yake anaweza saidia na labda kujisaidia na pengine utawala haufuati sheria au kuna malipo basi taalum na msukumo ndo vina m 'drive' mtu
Na kwa taarifa yako Wakili Msomi Fatma Karume kwenye kesi hii sio wakili tu, anamsimamia Lissu kwenye hili kimkakati. Tulizana uone.
Tundu Lissu ni habari nyinyine.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuBABU yake aliung'oa MKUU but Mjomba wake kwa jina la maalim SEIF amekuwa ana haha aurudishe ... alipumzika kidogo wakati MPWA aka KARUME Jr alipokuwa Rais....Lakini baada ya Dr Shein Kuingia Madarakani ameibuka tena....
Mkuu mtoto mzuri hivyo Na elimu juu awe single you are kiddingOngeeni yote..ameolewa?
Wengi wa hivyo huwa ni single maza[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna majitu humu yanatumia tecno,tena hata kununua hiyo tecno yamejinyima kweli lakini yanajifanya yanafia chama kwa kutetea ujingaKwa hiyo kwa taarifa ya wengi humu ni kuwa kazaliwa ndani ya ccm, kaifaidi ccm kuliko maelfu ya mavuvuzela hata waliopo humu JF na bado ana ulinzi wa ccm kupitia baba yake.
Lakini bado anaiona ccm ni kimeo na anaipinga wazi wazi matendo yake.
Sasa tuwaulize hawa waliozaliwa nanjilinji na kuwa wameijua ccm walipokuwa sekondari na wanachofaidika ni fulana, kofia na buk7 jee wamejiuliza kwa nini Fatuma hapendi matendo ya ccm pamoja na fursa zote apatazo?
mkuu. huyu binti ni mjukuu wa marehemu mzee Abeid Karume - nadhani waliotangulia tayari wamekupa jibu hili.Naomba kujua wanabodi kama Wakili Fatma Karume ana undugu na familia ya Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume.
Na Je ni mwanachama wa CHADEMA?
View attachment 547337
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu. huyu binti ni mjukuu wa marehemu mzee Abeid Karume - nadhani waliotangulia tayari wamekupa jibu hili.
nyongeza yangu - huyu ni mmoja wa CCM kindakindaki lakini ni miongoni mwa wawili watatu tu waliobaki ndani ya chama hicho ambao akili zao bado zinafanya kazi sawa sawa kama binadamu aliyeumbwa na Mungu!
.....mmempa title kubwa sana, Mgombea Urais Fisadi !Kwani mbowe ni rais wa tanzania?
Ivi Tanzania kuna mafisadi kumbe?? Mbona hawakamatwi? mbona hawapelekwi mahakamani??
Na kwa taarifa yako Wakili Msomi Fatma Karume kwenye kesi hii sio wakili tu, anamsimamia Lissu kwenye hili kimkakati. Tulizana uone.
Tundu Lissu ni habari nyinyine.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, naona nimepiga kwenye bull. panauma eh??nini tafri ya maneno yako mki itwa mahakamani mnalilia.
....watetee nini ile wapate iPhone ?Kuna majitu humu yanatumia tecno,tena hata kununua hiyo tecno yamejinyima kweli lakini yanajifanya yanafia chama kwa kutetea ujinga