Usomi unakomea hapo. Unaunga mkono juhudi za serikali kuwatetea wana wa nchi.Sijakuelewa, if u r quoting me kuhusu kuwa haiwezekani bei iwe a quater of the price mentioned in the media, than we are spreading lies na unafiki.
Kama umewahi kusom michango yangu kwenye hili sakata la korosho basi ungejua msimamo wangu. I am an authority on ghis issue la biashara ya korosho. Mimi nimekuwa nikinunua minada ya ushirika na kusafirisha kadri ya uwezo wangu, so i know the market.
Ninaunga mkono serekali kuwatetea wakulima, lakini the way they are handling the situation is very pathetic. Kuna mengi wamekosea, hawakuwa n planning ya maana ama madhubuti.
Leo serekali ikitangaza bei ya $1500 hadi $ 1600/= ,itanunuliwa within 10 bays, lakini ifikapo feb 21 bei itaanguka, kwani mavuno ya India yataingia sokoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema serikali imekurupuka, haikuweka mipango madhubuti ya kununua korosho. Mkulima leo hii amekuwa dhalili licha ya mavuno yake mazuri. Shida kwa mkulima imeongezeka. Utetezi gani huo? Waliteswa na watu binafsi sasa wanahangaishwa na serikali yao. Waweza amini kuwa mheshimiwa anawapiga shangazi zao.
Yule kijana Solomon Mihayo wa madini alimpeleka shule mheshimiwa. Ile ilikuwa thesis kuzidi ya maganda ya korosho. Unajiita authority lakini hutambuliki. Ushauri wa Solomon ungekuwa umechukuliwa na kutendewa haki usingekuwa hapa unajibizana na mimi. Ungekuwa unasaidia kurekebisha palipoenda fyongo kwenye korosho.
Unasema hujanielewa! Ni kweli. Huwezi kusema serikali inatetea wakulima wakati wanahangaika zaidi, ukanielewa. Serikali inatafuta wanunuzi ninyi iliowakataa. Unachoelewa wewe ni serikali kununua kwa wakulima kwa 3,300/= na kuuza kwenu kwa bei yenu ya 1,700/=? Mkulima hajapunjika. Serikali imefanya biashara kichaa. Serikali ni nini/nani? Kama unaangalia mbali zaidi na ncha ya pua utanielewa. CAG kwa biashara kama hii atazuiwa kutembelea huo mtaa. Madudu matupu. Mkirindi nakuelewa unataka kununua hizo korosho. Mark you at our expense!
Usomi unakosa maana hapa!!!