busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Ni walewale mabilionea wa hapa TZ
,,Ila tu wamepitia mlango wa kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
,,Ila tu wamepitia mlango wa kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha! Siku ile nilimshangaa sana Waziri akitoa macho kwa kusifia chopper. Yaani ushamba ni mzigo wa ma*i...Kigezo tulichotumia sisi ni helicopter. Alitua na chopa
EehMi siamini kama zimenunuliwa. Nahisi ni igizo flani hivi
Eeeh!Mkuu kwa taarifa zilizopo ni kuwa wakubwa baada ya kuangukia pua kwenye operation koroshow wametafuta dalali wa kuuza hiyo korosho na tayari jamaa ameenda na wanunuzi fulani mtwara na pwani na wamekagua na kuambiwa kuwa watauziwa kilo moja grade 1kwa sh 4800 na grade 2 kilo moja kwa sh 3800 na hao wanunuzi wamesepa hivyo huyo siyo mnunuzi bali ni dalali
In God we Trust
Kweli,akiba muhimuKuna shida mahali japo sijajua ni shida gani ila muda ni mwalimu mzuri ngoja niweke akiba ya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinunuliwa mandi mbuzi ya wasomali unajilegeza ....hahahahah naona umepata wivu kweli..... bora unywe sumu lakini korosho zimesha nunuliwa hahahahaha
Kwa akili zangu zotee,mimi naamini kabisa usalama wa taifa ni kwaajiri kulinda viongozi tuu na maslahi yao na sio kingine.labda usala wa taifa wa enzi zile.===
ILANI:
Sina mashaka kabisa kama watu hawa wamelipa pesa walizosema watalipa ila endapo hawajatoa pesa na wamekuja kutafuta kiki kwetu ni vyema tuwachambue kwa umakini
===
Mkuu Mkirindi,
Mimi Intelligence ya siku hizi inanishangaza inavyofanya kazi yake. Hakuna kitu kinasikitisha kama kuwa na Idara ya Usalama inayohangaika kudhibiti wananchi kwa maslahi ya 'tabaka tawala' badala ya kulinda maslahi mapana ya Taifa.
Ninachokijua mimi ni hiki:
1) Kampuni ya INDO Power Solutions imesajiliwa nchini Kenya mwaka 2016 ikionyesha inamilikiwa na watu wawili:
a) Joyce Waithira Gatoho na
b) Alice Wanjiku Gatoho
View attachment 1010458
Lakini, kinachoshangaza kidogo hapa ni kuwa pamoja na uchanga wa kampuni hii; Joyce anayedaiwa kuwa shareholder ni marehemu kitambo sana. Sasa, endelea kunisoma chini uelewe nini maana yake
View attachment 1010459
Ukisoma hapo juu utabaini kuwa Alice kwa mantiki hii ni sole shareholder ambaye akijua wazi kuwa Joyce hayupo hai (kwa nia ovu naweza kusema) aliamua kutumia jina lake ili atimize azma yake.
Taarifa za kampuni hii ambazo nimezipata ndani ya dakika 25 hivi nilitarajia vyombo vyetu vingeweza kuzipata kwa urahisi na kuepusha aibu mbeleni.
2) Twende kwa huyu ndugu Brian Mutembei
Namfahamu huyu jamaa kwa uzuri tu. Brian ni dalali maarufu na kwa waliokaa katika jiji la Nairobi watakuwa wanamfahamu.
Dalali huyu ni mtu wa karibu na Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto (ambaye wakenya wanamjua kama mmoja wa watu mafisadi wa kutupwa).
Brian ana rekodi ya makosa ya jinai na amewahi kufungwa. Kumbukumbu zake zipo kila sehemu (mtu akijiongeza):
View attachment 1010461
Aidha, dalali huyu anajulikana kwa mbwembwe zake za kumwaga mafedha kuonyesha 'jeuri ya pesa' hivyo siwezi kumtofautisha na kina "Ndama Mutoto ya Ng'ombe" au "Jackie Pemba" hivyo yeye kutumika kwenye hili deal haishangazi.
Simsingizii, soma hii story (event hii nzi wetu alikuwepo) na utaona maneno haya hapa:
View attachment 1010475
Naishia hapa kwa leo.
hiyo itaingia katika ile vocha namba 20 ambayo haikaguliwi abadani asilani wa shabaani wa ramadhani.Geresha. Mkataba utakuwa feki ili sifa zipatikane. Hizo korosho anazichukua kwa robo bei kwani zinaozeana na kuota huko walikozilundika.
Tatizo CAG hatahisika kukagua haya mauzo.
Sent using Jamii Forums mobile app