Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Kha!!! Samahani ili niendekee na wewe ningependa Kwanza kujua kuwa kutoka kwakoMtaji wa hiyo kampuni unamuhusu nini mkulima wa kule Tandahimba!
Je, unajua umuhim wa kwa nini kampuni lazima isajiliwe kwa taarifa binafsi na wasifu wa kampuni pamoja na shughuli inazofanya, ikiwemo taarifa ya mtaji na taarifa za watoa mtaji huo kwa kiwango na idadi ya mgawanyo wa mtaji husika???
Je unajua usajili huo hufanywa kwa kulipia ada maalum kisheria???
Je unajua ni kwa nini lazima kufanya hivyo???
400 bln it's not a small money brother kwa kampuni isiyo kuwa wazi maana yake mtaji huenda ukawa ni hizohizo pesa za walipa Kodi upo hapo ???
Msikalie ushabiki mandazi fikirieni nje ya box huu utawala ni mafisadi haijawahi kutokea tangu Uhuru
Sent using Jamii Forums mobile app