Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

We have a cynicism problem amongst cynical politicians and followers alike in this country. The cashewnuts deal is a one off transaction, jetting money in our coffers, how and from where do you get such analogy with that doomed Richmond deal, which was designed to syphon money from our coffers?! It is crazy! Whether it is DP Ruto or Mutembei being crooks but they buy our commodity and pay us handsomely, where is the fuss? Unless architects behind this thread consider Tanzania or the government does not have goal just like them thus bring up this worthless discussion, they better get advised to rescind.

I suspect money launderig
 
Kwa maneno mengine: Mjukuu wa Fatma Karume, (ambaye ni mke wa marehemu Abeid Karume) ni Fatma Karume, ambaye ni mtoto wa Abeid Aman Karume..

Ninakubaliana nawe kwamba Ex Spy hapa kakosea, aliyefariki sio Alice Wanjiku Gatoho aliyeko kwenye hiyo kampuni, bali ni Alice Wanjiku Karanga ndie marehemu. Lakini hili haliondoi uhalali wa mengine aliyoyaweka katika mchango wake hapa.

Ninasikitika tu kwamba mjadala huu unaelekea kufifia na kuelekea kwenye 'archive'. Sina shaka kuna siku utaibuliwa huko na kurudi hapa ukumbini kama kielelezo cha yale tutakayokuwa tunayashuhudia baada ya biashara hii ya ajabu iliyofanyika wakati huu wa sasa. Na ninakubaliana na Ex Spy kwa kusikitikia upepo ulioikumba idara ya usalama katika majukumu yake ya siku hizi.

Nashukuru sana kuwasoma watu kama Ex Spy; Mkirindi; Bungua na wengine waliotoa somo tosha kabisa juu ya 'koroshow' hii.
Mkuu vipi kama idara yetu ya usalama inahusika kwenye hii deal ili labda kuifichia /kuiondolea serikali aibu baada ya zile mbwembwe zote za kuwakataa wanunuzi walioletwa na waziri mkuu, kutumia majeshi na kuaminisha wakulima kwamba watalipwa bei nzuri tena on time. Badala yake ikawa ndivyo sivyo.
Mimi naamini huu ni mchezo na wahusika ni pamoja na Kitengo, yule jamaa wa Kagoda, a.k.a aliyemleta mmiliki fake wa Dowans , a.k.a King maker , maana yule jamaa amekuwa akitumiwa sana na serikali ya CCM kwa muda mrefu sana tangu enzi za Ben kwenye michezo ya aina hii.
Hapa ni kwamba biashara ilibuma na serikali inafunika kombe mwanaharam apite. Usije shangaa bei imetangazwa $1,800 na Mr. Mutembei akalipa kwa $1,100 ,kwani nani ataenda kukagua hiyo transaction ikishafanyika wakati CAG mwenyewe anawekewa vizingiti kila siku?
 
Mkuu vipi kama idara yetu ya usalama inahusika kwenye hii deal ili labda kuifichia /kuiondolea serikali aibu baada ya zile mbwembwe zote za kuwakataa wanunuzi walioletwa na waziri mkuu, kutumia majeshi na kuaminisha wakulima kwamba watalipwa bei nzuri tena on time. Badala yake ikawa ndivyo sivyo.

Kwa maana hiyo mkuu, idara inahitaji ibadilishwe jina lisiwe "Usalama wa Taifa". Na kwa maana hiyo, hii itakuwa inafanya kazi zake sio kwa 'Usalama wa Taifa', bali kwa hao watu wengine kama ulivyoainisha hapo juu.

Ni bahati mbaya sana watu tumezidi kuchanganywa akili kudhani kwamba serikali na viongozi waliomo kwenye srikali hiyo ndio 'Taifa.' Na tunazidi kuvurugwa akili kwelikweli na hao wenye lengo la upotoshaji, kama wanavyofanya sasa kwa Tundu Lissu.
 
Hii ni balaa
ZItto, hivi ngoma yako ya terrible twins mliyocheza na Mange Kimambi iliishia wapi? Ukweli ni kuwa unajua kutokosa ila chakula chako mara zote huwa hakiivi na wala hakionekani mezani. Hivi huwa unatokasa mawe?
 
Balozi wa Kenya alikuwepo na akaahidi kesho yake baada ya sahihi atambrief Rais Kenyatta. Huu utapeli maana yake serikali ya Kenya inahusika. Hebu acheni propoganda uchwara.

Richmond ilikuwa ya wahindi hapo uhuru wenye biashara ya stationery na kupiga photocopies. Kifo na Usingizi havilinganishwi hata siku moja.
Wakenya wameshaanza uchunguzi wa hiyo kampuni.
 
FB_IMG_1549904553280.jpg


Kuna haja ya kuchunguza matumizi ya Vote 20.
 
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Elimu yako ya shule ya kata huwezi kuelewa, mtia saini kafa 2001 na kampuni imefunguliwa 2016 inamaana marehemu kasaini nyaraka?
 
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Tatizo liko wapi?
Je wengine mlitaka Korosho isinunuliwe?
Hata kama Kampuni iliyoingia mkataba wa kununua Korosho yetu ilisajiliwa nje ya nchi hiyo,je inatuhusu nini sisi kama nchi?

Jambo moja ni kuwa Serikali imepata MNUNUZI wa Korosho.
Na BENKI itakayotoa/ itakayo FINANCE manunuzi ni ya kutoka nje ya nchi hiyo. Sasa sijui povu la nini?
Mbona wengine wetu hatufurahi wakati mazuri yanapotokea NCHINI??
. Kazi ni KULAUMU tu.
si fair hata kidogo!
 
Tatizo liko wapi?
Je wengine mlitaka Korosho isinunuliwe?
Hata kama Kampuni iliyoingia mkataba wa kununua Korosho yetu iolisajiliwa nje ya nchi hiyo inatuhusu nini sisi?

Jambo moja ni kuwa Serikali imepata MNUNUZI wa Korosho.
Na BENKI itakayotoa/ itakayo FINANCE manunuzi ni ya kutoka nje ya nchi hiyo. Sasa sijui povu la nini?
Mbona wengine wetu hatufurahi wakati mazuri yanapotokea NCHINI??
. Kazi ni KULAUMU tu.
sI fair!
Mimi niko na wewe pamoja mkuu!!
 
Eeeh! Injinia,sasa kila saa unasema kura ishirini,unadhani sijui kwamba vote20 maana yake ni kura 20, ina maana unanisema kichinichini kwamba 2015 nilishindwa uchaguzi?
 
Endelea kuongopa baadae utalala na kukoroma na siku itapita sisi Hapa Kazi Tu!!
Ulikuwa na hoja ya msingi ya kumjibu Zito ila nadhani hukuelewa au hata kama umeelewa basi umefanya makusudi.

Mtu afe 2001 mwingine azaliwe 2016 tuseme baba yake ni yule aliefariki 2001? Hapo inakuwa haiwezekani lakini kama aliezaliwa 2016 na anatoka familia ya yule aliekufa 2001 hiyo inawekezekana.

La msingi hii biashara isiwe na vidonda ndani yake ila kikubwa korosho zinunuliwe na wakulima wafaidi mavuno yao.
Kampuni hii tukiacha siasa na upofu tulionao katika mazuri na mabaya, inawalakini.
Nimeona inatangaza Alibaba Kama dalali wa Korosho.

Tujenge Tanzania yetu, tushirikiane na tuhoji pamoja haya mambo ili sote tunufaike na juhudi halali za kuwakomboa wakulima
 
Back
Top Bottom