Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ndiyo la msingi..! Afafu ofisi anaitegea google impe ofisi kweli..!Kama wametulipa fedha yetu tatizo liko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo la msingi..! Afafu ofisi anaitegea google impe ofisi kweli..!Kama wametulipa fedha yetu tatizo liko wapi?
hata kama ni pesa za magaidi?lazima ujue kampuni unayofanya nayo biashara vyanzo vyake vya pesa ni vipi vinginevyo utakuwa unashiriki utakatishaji wa fedha haramu na unasaidia kufadhili ugaidi.Wakulima wa korosho wanahitaji fedha au kampuni yenye secretary?
Kama ilivyokuwa kwenye makinikia, Propesa Kabundi alisifu hiyo dili kuwa ni halali, imefuata taratibu zote za kisheria na palikuwa na uwazi.Kuna sakata la kampuni ya Kitapeli ya Kenya ambayo inaishi kiutapeli na imegundulika haina pesa za kuweza kununua kiwango hicho cha Korosho bali zipo dalili kuwa fedha hizo ni zetu wenyewe Vote 20 na ni mchezo mchafu tuu unaendelea.
Kama habari hizo zilizofichuliwa na gazeti maarufu la East African ni kweli maana yake mchezo huo viongozi wa juu wote wanaujua na wameshiriki katika njama za kutuibia kama Taifa. Hawa sio WAZALENDO maana wanaibia TAIFA na ni hatari sana kwa usalama wetu. Wakati taifa zima limegeka kuangalia Lissu anasema nini huko duniani huku nyumbani Viongozi wanashirikiana na matapeli wanapanga kuiba mabilioni ya shilingi bila aibu.
Kama ikidhibitika utawala huu umeshiriki kupanga njama za kuiba (kama hawajaiba tayari) kuna haja ya kuendelea kuwatambua kama halali hata kwa siku moja zaidi tuu.
Tunadanganywa hapa kuchukia mafisadi kumbe majizi tunayo ndani ya mjengo mkuu na hazinani kwetu? This is too much, tuchukue hatua vinginevyo sisi ni mafala
Au hilo neno Power ndio linakuchanganya mkuu?Kuna sakata la kampuni ya Kitapeli ya Kenya ambayo inaishi kiutapeli na imegundulika haina pesa za kuweza kununua kiwango hicho cha Korosho bali zipo dalili kuwa fedha hizo ni zetu wenyewe Vote 20 na ni mchezo mchafu tuu unaendelea.
Kama habari hizo zilizofichuliwa na gazeti maarufu la East African ni kweli maana yake mchezo huo viongozi wa juu wote wanaujua na wameshiriki katika njama za kutuibia kama Taifa. Hawa sio WAZALENDO maana wanaibia TAIFA na ni hatari sana kwa usalama wetu. Wakati taifa zima limegeka kuangalia Lissu anasema nini huko duniani huku nyumbani Viongozi wanashirikiana na matapeli wanapanga kuiba mabilioni ya shilingi bila aibu.
Kama ikidhibitika utawala huu umeshiriki kupanga njama za kuiba (kama hawajaiba tayari) kuna haja ya kuendelea kuwatambua kama halali hata kwa siku moja zaidi tuu.
Tunadanganywa hapa kuchukia mafisadi kumbe majizi tunayo ndani ya mjengo mkuu na hazinani kwetu? This is too much, tuchukue hatua vinginevyo sisi ni mafala
Sijui kama Professor Kabudi anatambua kuwa amejiingiza katika matatizo makubwa sana baada ya kuamua kuukana msimamo wa awali na kujishirikisha na wezi wa mali za umma huku wakimtumia yeye kama msemaji wao wa kisheria. Hakika Mgogo huyo atakuja kujuta siku zijazoKama ilivyokuwa kwenye makinikia, Propesa Kabundi alisifu hiyo dili kuwa ni halali, imefuata taratibu zote za kisheria na palikuwa na uwazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni disaster kwa nchi yetu tokea tupate Uhuru, kweli uongozi wa juu unajiingiza kwenye utapeli kwa hela za serikali zilizokwibwa? No wonder CAG Akawa anapigwa mikwala ili kumuondoa kwenye umakini wake waendeleze wizi wao.It looks like hiyo Kampuni wao wenyewe ndo wameipa hiyo kampuni Pesa ijifanye imenunua Koroshow ili wajinasue kwenye shimo walilojiingiza kwa sababu ya kukurupuka!
Matokeo yake kwenye huo mchezo tutapigwa hela ndefu sana na wajanja kwa sababu hizo hela hazina auditing yoyote!!
===
ILANI:
Sina shida kabisa kama watu hawa wamelipa pesa walizosema watalipa ila endapo hawajatoa pesa na wamekuja kutafuta kiki kwetu ni vyema tuwachambue kwa umakini. Aidha, napata shaka kuwa kuna mtu nyuma ya kampuni hii ambaye soon tutamjua na tutajua lengo lake.
===
Mkuu Mkirindi,
Mimi Intelligence ya siku hizi inanishangaza inavyofanya kazi yake. Hakuna kitu kinasikitisha kama kuwa na Idara ya Usalama inayohangaika kudhibiti wananchi kwa maslahi ya 'tabaka tawala' badala ya kulinda maslahi mapana ya Taifa.
Ninachokijua mimi ni hiki:
1) Kampuni ya INDO Power Solutions imesajiliwa nchini Kenya mwaka 2016 ikionyesha inamilikiwa na watu wawili:
a) Joyce Waithira Gatoho na
b) Alice Wanjiku Gatoho
View attachment 1010458
Lakini, kinachoshangaza kidogo hapa ni kuwa pamoja na uchanga wa kampuni hii; Joyce anayedaiwa kuwa shareholder ni marehemu kitambo sana. Sasa, endelea kunisoma chini uelewe nini maana yake
View attachment 1010459
Ukisoma hapo juu utabaini kuwa Alice kwa mantiki hii ni sole shareholder ambaye akijua wazi kuwa Joyce hayupo hai (kwa nia ovu naweza kusema) aliamua kutumia jina lake ili atimize azma yake.
Taarifa za kampuni hii ambazo nimezipata ndani ya dakika 25 hivi nilitarajia vyombo vyetu vingeweza kuzipata kwa urahisi na kuepusha aibu mbeleni.
2) Twende kwa huyu ndugu Brian Mutembei
Namfahamu huyu jamaa kwa uzuri tu. Brian ni dalali maarufu na kwa waliokaa katika jiji la Nairobi watakuwa wanamfahamu.
Dalali huyu ni mtu wa karibu na Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto (ambaye wakenya wanamjua kama mmoja wa watu mafisadi wa kutupwa).
Brian ana rekodi ya makosa ya jinai na amewahi kufungwa. Kumbukumbu zake zipo kila sehemu (mtu akijiongeza):
View attachment 1010461
Aidha, dalali huyu anajulikana kwa mbwembwe zake za kumwaga mafedha kuonyesha 'jeuri ya pesa' hivyo siwezi kumtofautisha na kina "Ndama Mutoto ya Ng'ombe" au "Jackie Pemba" hivyo yeye kutumika kwenye hili deal haishangazi.
Simsingizii, soma hii story (event hii nzi wetu alikuwepo) na utaona maneno haya hapa:
View attachment 1010475
Naishia hapa kwa leo.
UPDATE, Feb 9, 2019
View attachment 1018644
Hii ni balaa
Ni balaa kubwa sana kaka, wakati mwingine unajiuliza hivi TISS kazi yao ni nini haswa?
Maana kama member wa JF ameweza kwenda Chimbo kidogo tu na kuibuka na information muhimu za hii kampuni "kanjanja" ina maana hawa TISS na mtandao wao mpana wameshindwa kuliona hili, au nao ni washirika katika hili gemu?
Yule Singasinga kutoka huko huko Kenya kaja hapa TZ kaungana na Ruge katuliza pesa za Escrow na kesi bado mbichi. Leo INDO toka Kenya kaungana na Mutembei (!), what a coincidence!Hii ni zaidi ya aibu (if it is true) kwa jamuhuri kuingizwa mkenge mchana kweupee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama wa Taifa aka Usalama wa CCM na serikali yake wako busy kupoteza wapinzani.===
ILANI:
Sina shida kabisa kama watu hawa wamelipa pesa walizosema watalipa ila endapo hawajatoa pesa na wamekuja kutafuta kiki kwetu ni vyema tuwachambue kwa umakini. Aidha, napata shaka kuwa kuna mtu nyuma ya kampuni hii ambaye soon tutamjua na tutajua lengo lake.
===
Mkuu Mkirindi,
Mimi Intelligence ya siku hizi inanishangaza inavyofanya kazi yake. Hakuna kitu kinasikitisha kama kuwa na Idara ya Usalama inayohangaika kudhibiti wananchi kwa maslahi ya 'tabaka tawala' badala ya kulinda maslahi mapana ya Taifa.
Ninachokijua mimi ni hiki:
1) Kampuni ya INDO Power Solutions imesajiliwa nchini Kenya mwaka 2016 ikionyesha inamilikiwa na watu wawili:
a) Joyce Waithira Gatoho na
b) Alice Wanjiku Gatoho
View attachment 1010458
Lakini, kinachoshangaza kidogo hapa ni kuwa pamoja na uchanga wa kampuni hii; Joyce anayedaiwa kuwa shareholder ni marehemu kitambo sana. Sasa, endelea kunisoma chini uelewe nini maana yake
View attachment 1010459
Ukisoma hapo juu utabaini kuwa Alice kwa mantiki hii ni sole shareholder ambaye akijua wazi kuwa Joyce hayupo hai (kwa nia ovu naweza kusema) aliamua kutumia jina lake ili atimize azma yake.
Taarifa za kampuni hii ambazo nimezipata ndani ya dakika 25 hivi nilitarajia vyombo vyetu vingeweza kuzipata kwa urahisi na kuepusha aibu mbeleni.
2) Twende kwa huyu ndugu Brian Mutembei
Namfahamu huyu jamaa kwa uzuri tu. Brian ni dalali maarufu na kwa waliokaa katika jiji la Nairobi watakuwa wanamfahamu.
Dalali huyu ni mtu wa karibu na Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto (ambaye wakenya wanamjua kama mmoja wa watu mafisadi wa kutupwa).
Brian ana rekodi ya makosa ya jinai na amewahi kufungwa. Kumbukumbu zake zipo kila sehemu (mtu akijiongeza):
View attachment 1010461
Aidha, dalali huyu anajulikana kwa mbwembwe zake za kumwaga mafedha kuonyesha 'jeuri ya pesa' hivyo siwezi kumtofautisha na kina "Ndama Mutoto ya Ng'ombe" au "Jackie Pemba" hivyo yeye kutumika kwenye hili deal haishangazi.
Simsingizii, soma hii story (event hii nzi wetu alikuwepo) na utaona maneno haya hapa:
View attachment 1010475
Naishia hapa kwa leo.
UPDATE, Feb 9, 2019
View attachment 1018644
Kazi yao kuua wapinzani tu