Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

Zitto Kabwe:

Kampuni HEWA isiyo na Ofisi, wanasheria, akaunti ya Benki, wakaguzi nk inaingia mkataba wa kununua Korosho za zaidi shs 400bn na Serikali inayojipambanua kupambana na ufisadi google.com/amp/s/www.thee… ! Mbele ya Waziri Palamagamba Kabudi! @cecil_mwambe @Nnauye_Nape Jumapili njema.

Zitto Kabwe:

“It has not been lost on keen observers that a firm that is outward looking and active in international trade has no online presence. Official registration records also indicate that Indo Power has no bankers, no lawyers, no auditors, and no company secretary.”

Kwa taarifa kamili fungua hii link hapa chini:

Shadowy firm at the centre of $180m nuts deal
Kama wametulipa fedha yetu tatizo liko wapi?
 
Zitto Kabwe:

Kampuni HEWA isiyo na Ofisi, wanasheria, akaunti ya Benki, wakaguzi nk inaingia mkataba wa kununua Korosho za zaidi shs 400bn na Serikali inayojipambanua kupambana na ufisadi google.com/amp/s/www.thee… ! Mbele ya Waziri Palamagamba Kabudi! @cecil_mwambe @Nnauye_Nape Jumapili njema.

Zitto Kabwe:

“It has not been lost on keen observers that a firm that is outward looking and active in international trade has no online presence. Official registration records also indicate that Indo Power has no bankers, no lawyers, no auditors, and no company secretary.”
Serikali ya ccm ni matapeli.wamewatapeli wakulima wa korosho sasa ni zamu yao kutapeliwa.
Malipo hapa hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shauri yao na pesa zetu. Tumeshaanza kujikatala
 
Wakulima wa korosho wanahitaji fedha au kampuni yenye secretary?

Acha umazwazwa wewe, serikali haipaswi kufanya biashara na kampuni zisizoelezeka tusije tukajikuta tunatakatisha fedha haramu bure!

Ila It seems hizi ni hela zilezile za Vote-20., zinatoka mfuko huu kupitia mfuko ule huku kampuni Ya Wakenya ikiwa ni geresha tu!

Jiwe anataka kujinusuru kwa aibu ya Koroshow kwa kuzinunua yeye mwenyewe, ila kwa sababu hawezi kununua kiwaziwazi bila bajeti ya bunge, ndo inabidi zitumike zilezile za Vote 20 kwa kujifanya eti Kampuni ya Kenya imenunua!.
Na kwenye kuitumia hiyo kampuni ya Wakenya Mafisadi wanaweza kutupiga kwa kuweka percent zao!. Si unajua hizo pesa za Vote-20 haziwi audited?.

Kampuni isiyo na dola milioni 20 benki itawezaje kununua mzigo wa thamani ya dola milioni 180?

Jiongeze wewe!
Hili dili lina kila aina ya harufu ya Utakatishaji fweza!

Hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
 
Kama wametulipa fedha yetu tatizo liko wapi?
Ndio tatizo lenu watanzania hamjiongezi kwa akili yako kampuni ya aina Kama hiyo hujajiuliza imepata wapi mtaji ???

Na kwa kampuni ya mtaji wa kiasi hicho ni lazima iwe well established Company and should have health status in a business point of views ... ikiwemo website na transparent business and entity profile as well as key management pesornnel particulars ...

Kwa taarifa yako ni pesa zako za Kodi zimenunua korosho zinenda kuuza na baadae faida wanagawa Jiwe na mamlaka yake ya CCM mpya ...

Upo hapo stuka acha akili za ki-ndezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majizi utayajua tu!

Una hakika hiyo kampuni ndio itakuwa imenunua korosho kama haina hata ofisi?

Acacia mliosema ni kampuni hewa mlikuwa na haja gani ya kuilaumu kama usajili sio issue ya msing

Wanafiki hawajifichi!
Mbwiga wakulima wanataka fedha siyo ofisi!...... Ofisi ingekuwa muhimu Chadema mngekuwa na jengo la ghorofa!
 
Nimesoma makala ya gazeti na ni wazi kampuni haina fedha bali wanakwenda kutumia mkataba wa kununua korosho kupata fedha benki,

na kwanini huyu mkenya amekataa kwamba fedha zinatoka Kenya , ni kwa sababu kikosi Cha kupambana na ufisadi Kenya kimeanza kuchunguza hizo fedha zinatoka wapi na Kama ni fedha zao kwa Sheria za Kenya lazima zifahamike vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

Vyombo vya Kenya hii itaibuka skendo na anayelipa hizi fedha atafahamika tu.

Ila chakujiuliza, kwanini tuwape wakenya deal za fedha nyingi hivi huku makampuni ya ndani yakizidi kufaa? Kwanini tunawathamini wageni kiasi kwamba tunawasau wazawa?

Profesa Magamba anaingizwa kwenye deal chafu Kama hizi anashindwa kumshauri Rais? Rais anania njema lakini waliopochini yake wanamwangusha.....due diligence ilisumbua Sana kwenye umeme Sasa inaingia kwenye mazao .

Hakuna uzalendo kwa viongozi wetu kwa sababu vyombo vyetu havipo huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tatizo lenu watanzania hamjiongezi kwa akili yako kampuni ya aina Kama hiyo hujajiuliza imepata wapi mtaji ???

Na kwa kampuni ya mtaji wa kiasi hicho ni lazima iwe well established Company and should have health status in a business point of views ... ikiwemo website na transparent business and entity profile as well as key management pesornnel particulars ...

Kwa taarifa yako ni pesa zako za Kodi zimenunua korosho zinenda kuuza na baadae faida wanagawa Jiwe na mamlaka yake ya CCM mpya ...

Upo hapo stuka acha akili za ki-ndezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji wa hiyo kampuni unamuhusu nini mkulima wa kule Tandahimba!
 
Acha umazwazwa wewe, serikali haipaswi kufanya biashara na kampuni zisizoelezeka tusije tukajikuta tunatakatisha fedha haramu bure!

Ila It seems hizi ni hela zilezile za Vote-20., zinatoka mfuko huu kupitia mfuko ule huku kampuni Ya Wakenya ikiwa ni geresha tu!

Jiwe anataka kujinusuru kwa aibu ya Koroshow kwa kuzinunua yeye mwenyewe, ila kwa sababu hawezi kununua kiwaziwazi bila bajeti ya bunge, ndo inabidi zitumike zilezile za Vote 20 kwa kujifanya eti Kampuni ya Kenya imenunua!.
Na kwenye kuitumia hiyo kampuni ya Wakenya Mafisadi wanaweza kutupiga kwa kuweka percent zao!. Si unajua hizo pesa za Vote-20 haziwi audited?.

Kampuni isiyo na dola milioni 20 benki itawezaje kununua mzigo wa thamani ya dola milioni 180?

Jiongeze wewe!
Hili dili lina kila aina ya harufu ya Utakatishaji fweza!

Hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Hahahaa...... Naona umemwaga povu kbao kununua korosho siyo sawa na tenda ya construction!

Leta fedha chukua mzigo biashara imeisha!
 
Back
Top Bottom