Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
niletee savanna baridi......
HAHAHAAAAAA! NDO MAANA NAKWAMBIA HAYA MAMBO WE MJINI MGENI UMEYAJUA JANA AFU UNAJITIA KUYAJUA UNAJIAIBISHA!tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!
Kabla hajakupa aweke zake za HAVARD NA YALE PLEASEEEEE! Watu kw multiple ids ! Hahaaaa!
Hebu ustadhi tupe darsa kidogo kwa hiyo hapa tunadanganywa eeeh????
hahaa subiria kwa huyu kijacho.....
tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!
Hahaaaaa! Kwa hio mnaona sawa mtoto asiende collage auze bar? Haina kwere maana mama mtu ndo INDUSTRY YAKE HIO!yaani kale ka leyla juzi kalipanga fact insta hatariii kalijieleza vizuri kuhusu elimu yake na hiyo kazi yk ya baa yaani kanajielewa sana
Hiyo "Collage USA" aliposoma ni ipi? Iko jimbo gani? Alisomea major gani? Mwaka gani? Alihitimu hakuhitimu?
Hiyo "Degree Daresalaam" ni ya chuo gani? UDSM?
Tuanzie hapo kwanza.....
NDO MAANA ALISAGWA NA LOVENESS! Hahaaaaaa! Chezea uzuri weyeeeee! Tena katestfy mwenyeweeeeee! Haswaaa ukiwa unaikimbiza 50 unakuwa mzurije!Linda ni mzuri jamani.....pale neema zote za Allah kajaaliwa yule kiumbe......., she is cute....
wengine ka udongo na maji viliisha wakati wa uumbaji...
yaani kale ka leyla juzi kalipanga fact insta hatariii kalijieleza vizuri kuhusu elimu yake na hiyo kazi yk ya baa yaani kanajielewa sana
Hiyo "Collage USA" aliposoma ni ipi? Iko jimbo gani? Alisomea major gani? Mwaka gani? Alihitimu hakuhitimu?
Hiyo "Degree Daresalaam" ni ya chuo gani? UDSM?
Tuanzie hapo kwanza.....
fact kama hizi ndio tunazihitaji
ustaadhi please tupe neno hapo... sie kweli tuko Bongo twala vumbi tujuze japo kidogo
na kwa kutopatana na mamake mzazi ndo kumemfanya leo awe vile na maisha yake yatakua hivyohivyo kupata negative publicity mpaka siki atakayojua thamani ya mama na kumuandika km anavyoandikaga mama ww wenzie kwa kuwasfia ndo ile nafsi ya ushetank itaondoka na damu ya kunguni itaisha kwake
wenzie wanaelewana na mama zao hata wakikosana wanasolve ye anajfanya kajizaa...![/QUOTHE]
Hahahaaaaaa! So funny! NYIE WENYE WAZAZI NA MIBARAKA TELE MBONA HATA HAPO NJE HAMJATOKA.? Binadamu kwa kujifariji hamna mpinzani! Hahahaaaa! Nicheke mie!
Hvi kwenda nje ya nchi ndo kua na maisha mazuri?
Kuolewa na mzungu ndo kuukata?
Kuongelewa vbaya ni ufakhar?
Kutomthamini mam angu ni ushujaa..?!!!Km ndo ivyoivyo mi nipo nipo sana tu bongo na maisha yetu ya kiswaz nyuma ya keyboard....!
Twendeni taratibu tu wala msiwe na tashwishwi! Nipo hapa kama kawaida yangu ku-debunk myths mnazolishwa.
Hahaaaaa! Kwa hio mnaona sawa mtoto asiende collage auze bar? Haina kwere maana mama mtu ndo INDUSTRY YAKE HIO!
wacha weeeee....
ustaadhi sie twakusoma weye tu....
Muuliza swali atoe kwanza CREDENTIALS ZAKE ZA YALE AU HAVARD NDO NITAMJIBU! Otherwise wabongo kibao achia wanaoenda kwa sponsor za makanisa, miradi, na gvt mnasoma vyuo vya kata hukoo kwani hatujui? Sema i respect mzazi yeyote asiependa ubeche wa kukopakopa loans bord kumgaramia mwanae, NAULI, MALAZI, ADA NA MATUMIZI, Kwa pesa hii ya madafu miaka yote atayokuwa huko walau AICHUNGULIE HIO AMERICAN DREAM!cc lara 1 tupe majibu kamili
Twendeni taratibu tu wala msiwe na tashwishwi! Nipo hapa kama kawaida yangu ku-debunk myths mnazolishwa.
Hahaaaaa! AKAGRADUATE KWANZA HIGH SCHOOL! THE KID IS DROP OUT! Nyie mjazeni ujinga tu!kila kitu kinamuda wake ye kaona saivi hayuko sawa kwenda collage atakapokuwa tayari ataenda. na kaamua afanye kazi aingize hela.au mlitaka auze nyapu ka chaga bibi