Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!
HAHAHAAAAAA! NDO MAANA NAKWAMBIA HAYA MAMBO WE MJINI MGENI UMEYAJUA JANA AFU UNAJITIA KUYAJUA UNAJIAIBISHA!

Naniiiiiiiii.? Lindaaaa bedui? MAMA MTU MZIMA ALITUKANA FACE BOOK DUDADAAAAAAAAAAA,! Mpaka akatolewa kwenye KIU! Kisa Bongoliious! Hahaaaa! Kwanza tafuta videos zake u tube anaelezea alivo mtamu kwa wanaume, na jumba lake kabla hajaachwa na mpakistan! Hahaaaa! We Linda humjui! Mtafute umjue kwanza! Na alivojisifia kuwa punda! Hahaaaaa! Na KUSAGWA NA LOVENESSS! Hamna kitu muleee! Hata jf maishu yake yapo kukutosha usiku huu.
 
Kabla hajakupa aweke zake za HAVARD NA YALE PLEASEEEEE! Watu kw multiple ids ! Hahaaaa!

Kwani lara wewe unawajua watu wengi humu eeeeeh?Kwa hiyo ustadhi alikuwa anasoma havard ama?Maana sijaelewa umemjuaje juaje
 
tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!

Linda ni mzuri jamani.....pale neema zote za Allah kajaaliwa yule kiumbe......., she is cute....

wengine ka udongo na maji viliisha wakati wa uumbaji...
 
yaani kale ka leyla juzi kalipanga fact insta hatariii kalijieleza vizuri kuhusu elimu yake na hiyo kazi yk ya baa yaani kanajielewa sana
Hahaaaaa! Kwa hio mnaona sawa mtoto asiende collage auze bar? Haina kwere maana mama mtu ndo INDUSTRY YAKE HIO!
 
Hiyo "Collage USA" aliposoma ni ipi? Iko jimbo gani? Alisomea major gani? Mwaka gani? Alihitimu hakuhitimu?

Hiyo "Degree Daresalaam" ni ya chuo gani? UDSM?

Tuanzie hapo kwanza.....

cc lara 1 tupe majibu kamili
 
Last edited by a moderator:
Linda ni mzuri jamani.....pale neema zote za Allah kajaaliwa yule kiumbe......., she is cute....

wengine ka udongo na maji viliisha wakati wa uumbaji...
NDO MAANA ALISAGWA NA LOVENESS! Hahaaaaaa! Chezea uzuri weyeeeee! Tena katestfy mwenyeweeeeee! Haswaaa ukiwa unaikimbiza 50 unakuwa mzurije!
 
Hiyo "Collage USA" aliposoma ni ipi? Iko jimbo gani? Alisomea major gani? Mwaka gani? Alihitimu hakuhitimu?

Hiyo "Degree Daresalaam" ni ya chuo gani? UDSM?

Tuanzie hapo kwanza.....

Ngoja nimuite lara ndo anamjua.Uko wapi my dia hebu njoo ujibu maswali ya ustadhi huku lara
 
Last edited by a moderator:
fact kama hizi ndio tunazihitaji

ustaadhi please tupe neno hapo... sie kweli tuko Bongo twala vumbi tujuze japo kidogo

Twendeni taratibu tu wala msiwe na tashwishwi! Nipo hapa kama kawaida yangu ku-debunk myths mnazolishwa.
 
na kwa kutopatana na mamake mzazi ndo kumemfanya leo awe vile na maisha yake yatakua hivyohivyo kupata negative publicity mpaka siki atakayojua thamani ya mama na kumuandika km anavyoandikaga mama ww wenzie kwa kuwasfia ndo ile nafsi ya ushetank itaondoka na damu ya kunguni itaisha kwake
wenzie wanaelewana na mama zao hata wakikosana wanasolve ye anajfanya kajizaa...![/QUOTHE]
Hahahaaaaaa! So funny! NYIE WENYE WAZAZI NA MIBARAKA TELE MBONA HATA HAPO NJE HAMJATOKA.? Binadamu kwa kujifariji hamna mpinzani! Hahahaaaa! Nicheke mie!

Hvi kwenda nje ya nchi ndo kua na maisha mazuri?
Kuolewa na mzungu ndo kuukata?
Kuongelewa vbaya ni ufakhar?
Kutomthamini mam angu ni ushujaa..?!!!Km ndo ivyoivyo mi nipo nipo sana tu bongo na maisha yetu ya kiswaz nyuma ya keyboard....!
 
Hahaaaaa! Kwa hio mnaona sawa mtoto asiende collage auze bar? Haina kwere maana mama mtu ndo INDUSTRY YAKE HIO!

kila kitu kinamuda wake ye kaona saivi hayuko sawa kwenda collage atakapokuwa tayari ataenda. na kaamua afanye kazi aingize hela.au mlitaka auze nyapu ka chaga bibi
 
cc lara 1 tupe majibu kamili
Muuliza swali atoe kwanza CREDENTIALS ZAKE ZA YALE AU HAVARD NDO NITAMJIBU! Otherwise wabongo kibao achia wanaoenda kwa sponsor za makanisa, miradi, na gvt mnasoma vyuo vya kata hukoo kwani hatujui? Sema i respect mzazi yeyote asiependa ubeche wa kukopakopa loans bord kumgaramia mwanae, NAULI, MALAZI, ADA NA MATUMIZI, Kwa pesa hii ya madafu miaka yote atayokuwa huko walau AICHUNGULIE HIO AMERICAN DREAM!
Sasa nyie Ze kayumbaz kutoka kwenu mpaka chuo umetumia 10,000 kwa tax msijitie wapana humu mkakatisha watu na watoto wao tamaa! KAMA RAHISI MBONA MZAZI WAKO HAKUKUPELKA KAKUACHA UWE KOPA KOPA KUTWA KUJAZA MIFORM!
 
kila kitu kinamuda wake ye kaona saivi hayuko sawa kwenda collage atakapokuwa tayari ataenda. na kaamua afanye kazi aingize hela.au mlitaka auze nyapu ka chaga bibi
Hahaaaaa! AKAGRADUATE KWANZA HIGH SCHOOL! THE KID IS DROP OUT! Nyie mjazeni ujinga tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom