Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

Zimekupwaya asee...sio bure
 
Mama mlaki
Magufuli
....
 
Do your home work,nimekusaidia kukupa some tips.Again narudia anayofanya Mange mwenye akili timamu hawezi kuyafanya
Nakubaliana na wewe 100%.
Mimi simsapot mange na namchukua ika napenda haki. Wale wanaomtukana mange nao anawanyoosha sawa sawa.
Sidhani kama unanisoma ama hunisomi
 
Walianza wao acha mange awamalize..... walimtusi sana, kibao kimegeuka wanalia nini???? Akuanzae mmalize_Mxiewww[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hivi makonda amewahi kumtukana mange? Lowassa je
Hawamjui hata hawana time naye. Mange akikutukana ukimpotezea naye anajiona mjinga anaacha.
Sasa jifanye unajua.. Kwanza ndio kama unamkuna hivi anasimamia kiharage utamkoma mmaee
 
Before Rachel hajafanya hayo aliyoyafanya mange alifanya nini kwenye familia ya Rachel?? Tuanzie hapo mkuu.
Hilo swali kalitafutie jibu mwenyewe . Mimi nimekuambia tu kuwa Mange alianzwa full stop. Mengine katafute mwenyewe
 
Nakubaliana na wewe 100%.
Mimi simsapot mange na namchukua ika napenda haki. Wale wanaomtukana mange nao anawanyoosha sawa sawa.
Sidhani kama unanisoma ama hunisomi
Kwa umri aliokuwa nao sasa na watoto 3 hapaswi kutukana watu mitandaoni,kumbuka kutukanwa kwake sababu kubwa ni makosa aliyofanya baba yake huko nyuma so hata hawa wanae nao watakuja kutukanwa kwa haya anayoyafanya yeye leo.Kibaya zaidi kuolewa kwake na mzungu kulimfanya aliwadharau sana wenzake walioolewa na sisi waswahili
 
Ni mtizamo wako, hapo sasa linakuja suala la malezi kalelewaje mi sijui na wewe hujui.
 
Hawamjui hata hawana time naye. Mange akikutukana ukimpotezea naye anajiona mjinga anaacha.
Sasa jifanye unajua.. Kwanza ndio kama unamkuna hivi anasimamia kiharage utamkoma mmaee
Sasa ni haki gani hiyo unayodai unaipenda?
 
Kwani anayetukanwa ni babu yako na wewe pilipili huili wewe kwa nini ukuwashe, elewa hayo ni making, unafiki na uzandiki na wewe kama unaona anatukana mfuate yy live au mtumie ujumbe usitueleze ss mambo ya majungu na uchonganishi, huyo mange kama anavyoandika inakukera achana naye ukitaka kumuiga hujazuiwa ova!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…