Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
U turn naijua sanaMange hajaanza kutukana watu leo kabla hata Instagram alikuwa na blog yake kila siku anatukana watu kwake baadae akaamua kuifunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U turn naijua sanaMange hajaanza kutukana watu leo kabla hata Instagram alikuwa na blog yake kila siku anatukana watu kwake baadae akaamua kuifunga
Do your home work,nimekusaidia kukupa some tips.Again narudia anayofanya Mange mwenye akili timamu hawezi kuyafanyaHaya lete walichomjibu kwa kila mmoja.
Kama hii ya Rita Mlaki si imeletwa? Haya leta alichojibu daimondi
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.
Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna
Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu
Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Mama mlakiEdward Lowasa
Anne Kilango
Naki Kilango
Rachel Temu
Hoyce Temu
Rizwan Kikwete
January Makamba
Mwamvita Makamba
William Malecela
Paul Makonda
Diamond Platinumz
Sintah
DJ Majay
Kinje
Teddy Kalonga
Jackline Mengi
Mboni Masimba
Shamim Mwasha & Mumewe
Linda Bedui
Zari
Jestina George
Kiki
U turnMange hajaanza kutukana watu leo kabla hata Instagram alikuwa na blog yake kila siku anatukana watu kwake baadae akaamua kuifunga
Hahahaaa... Kwani Tishio Ni Umbo Au Akili?Mwanamke mwembamba namna ile ndo amekua tishio hivo?
Nakubaliana na wewe 100%.Do your home work,nimekusaidia kukupa some tips.Again narudia anayofanya Mange mwenye akili timamu hawezi kuyafanya
Hivi makonda amewahi kumtukana mange? Lowassa jeNakubaliana na wewe 100%.
Mimi simsapot mange na namchukua ika napenda haki. Wale wanaomtukana mange nao anawanyoosha sawa sawa.
Sidhani kama unanisoma ama hunisomi
Before Rachel hajafanya hayo aliyoyafanya mange alifanya nini kwenye familia ya Rachel?? Tuanzie hapo mkuu.Unamjua rachel vizuri?
Unajua alichokifanya kwa mange?
Tit 4 tat
Hawamjui hata hawana time naye. Mange akikutukana ukimpotezea naye anajiona mjinga anaacha.Hivi makonda amewahi kumtukana mange? Lowassa je
Hilo swali kalitafutie jibu mwenyewe . Mimi nimekuambia tu kuwa Mange alianzwa full stop. Mengine katafute mwenyeweBefore Rachel hajafanya hayo aliyoyafanya mange alifanya nini kwenye familia ya Rachel?? Tuanzie hapo mkuu.
Kwa umri aliokuwa nao sasa na watoto 3 hapaswi kutukana watu mitandaoni,kumbuka kutukanwa kwake sababu kubwa ni makosa aliyofanya baba yake huko nyuma so hata hawa wanae nao watakuja kutukanwa kwa haya anayoyafanya yeye leo.Kibaya zaidi kuolewa kwake na mzungu kulimfanya aliwadharau sana wenzake walioolewa na sisi waswahiliNakubaliana na wewe 100%.
Mimi simsapot mange na namchukua ika napenda haki. Wale wanaomtukana mange nao anawanyoosha sawa sawa.
Sidhani kama unanisoma ama hunisomi
Ni mtizamo wako, hapo sasa linakuja suala la malezi kalelewaje mi sijui na wewe hujui.Kwa umri aliokuwa nao sasa na watoto 3 hapaswi kutukana watu mitandaoni,kumbuka kutukanwa kwake sababu kubwa ni makosa aliyofanya baba yake huko nyuma so hata hawa wanae nao watakuja kutukanwa kwa haya anayoyafanya yeye leo.Kibaya zaidi kuolewa kwake na mzungu kulimfanya aliwadharau sana wenzake walioolewa na sisi waswahili
Kwa hio Rita Mlaki anagombana na chizi?Mange hana mchezo...![]()
Sasa ni haki gani hiyo unayodai unaipenda?Hawamjui hata hawana time naye. Mange akikutukana ukimpotezea naye anajiona mjinga anaacha.
Sasa jifanye unajua.. Kwanza ndio kama unamkuna hivi anasimamia kiharage utamkoma mmaee
Umeona ee!!!Walianza wao acha mange awamalize..... walimtusi sana, kibao kimegeuka wanalia nini???? Akuanzae mmalize_Mxiewww[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]