Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Ukimuita Mange "binti", utakuwa in your late 70s. Huyo kibibi unaanzaje kumuita binti.
 
kweli. Ila akili zake sio sawa anahitaji milembe kidogo. Akianza kutukana utashangaa kabisa.
 
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
 
Reactions: Mj1
 
Jpm mwenyewe kwenye issue ya bashite anasita tu ili aonekane amempa credit huyu dada kirahisi!

Ila tukiacha chuki na mapungufu yake kama binadamu huyu dada yuko vizuri sana!

Sijui jpm atatumia mbinu gani kumtuliza huyu dada maana kuna watu wazito ndio wanaonyetishia hizo za uvunguni!

My take # Jpm if you cant fight them join with them
 
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba

Inaweza ikawa ni kweli unayosema mkuu ila mbona hao ma'shushushu' hatuoni wakifanya kazi japo kama hizi
 
Ni upuuzi wa wale wanaoaminiwa na kupewa majukumu ndio wanamfanya huyu dada kupata sifa na kufanya yale anayofanya lakini hakuna kitu cha ajabu hapo
 
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
Kama ilivyo kwa wanasheria kuna Bush Lawyers ... huyu Mange ni Bush Ditective aisee... anawanyoosha balaa
 
Mange nouma sana hata wanaotoa taarifa wanajua kabisa nikimpa taarifa mange nakuwa safe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…