Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Huyu mwanamke ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange KimimbaHabari zenu wana jamvi pendwa.
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa updates zote zinazoendelea nchini haswa jijini kwa mkuu "D"
Kuna huyu binti Mange Kimambi nimekuwa nikifuatilia sana tena kwa kina uchambuzi wake kuhusu masuala kadhaa au ngoja tu niite "upelelezi" wa masuala fulan fulan na nikagundua kwamba ni mtu mwenye uwezo mkubwa na wa hali ya juu sana katika masuala ya upelelezi ukizingatia na utoaji wa evidences pia.
ushauri-- kama wazee wa kitengo cha intelijensia mtapata bahat ya kuusoma uzi huu embu basi jaribuni kumchukua kijana maana anaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwenu na kwa taifa pia. Ahsante.
Habari zenu wana jamvi pendwa.

Sisi tunataka intelijensia kama ya mange,hiyo nyingine unayosema imeshindwa kujua hata BMWX6 ina mambo ganiWewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
Nimecheka sana mkuu.Ukimuita Mange "binti", utakuwa in your late 70s. Huyo kibibi unaanzaje kumuita binti.
Kama ilivyo kwa wanasheria kuna Bush Lawyers ... huyu Mange ni Bush Ditective aisee... anawanyoosha balaaWewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba