Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Mkuu unanifanya nijiulize mara tatu tatu Uganda gani? Ni hii hii iliyoshindwa kumuondoa jamaa mmoja madarakani zaidi ya miaka 28? Inaweza kuwa miaka hata 32 au zaidi. Tangu enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete, hadi sasa Magufuli yeye bado anatawala tena kibabe kuliko huyo Bashite. Kamuulize nduguyo Basigye atakuambia bora huko TZ. Sasa nashangaa huoni hili au unatumia kilevi gani?
 
Nimemfahamu Mange kimambi kupitia staff wenzangu wapenda udaku...Walikuwa kila wakifika ofisini nasikia habari za huyu Dada/mama mara kasema hili mara kamchamba fulani... Kwa jinsi nilivyokuwa nikiwasikiliza nilianza kusikia kushawishika kutaka kumfahamu vizuri... kuona uzuri wake na wakati mwingine mabaya yake ni kweli anayo kama anavyo simuliwa.

Nilianza kumtafuta kupitia instagram....Kwa bahati nakutana na jina lake...natizama kwanza wafuasi wake, napata picha ni aina gani ya watu wanao mfuatilia. Nafungua post kutazama yale yanayo mfanya kujipatia marafiki au maadui kama nilivyokuwa nimeambiwa kabla.

Natamalaki napatwa na mshangao, nakutana na Mambo (post) mbalimbali, nyingi akiwatukana watu (vingozi wetu) na wengine waliyo onekana kwenda kinyume na kile anacho kiamini yeye.

Najiuliza huyu ni mtu wa aina gani...!? Mbona anatumia nguvu nyingi na hatarishi katika kufikisha ujumbe kwa wafuasi..!! Mbona anatumia maneno makali as if yeye sio wa nchi hii...?!

Naanza kupata picha nagundua kuwa yeye ni mama wa MACHOTARA wawili..
Nabaini kuwa alitusaliti ndugu zake na kuamua kumpa TUNDA lake MZUNGU (choka mbaya) ambaye ndie kama chanzo Cha MATATIZO yote yanayo mkumba kwa sasa.

Nashangaa.... mbona wengi ya wale anao washambulia kwa matusi wako katika kipindi cha KWAREZIMA...!! Hivi yeye (Mange) hautambui mwezi huu MTUKUFU..!?

Nafanya utafiti nabaini haya machache:-
1: Mange Kimambi ni mtu anaetumia KILEO (Pombe) kwa kiwango kikubwa..
2: Mange Kimambi ni mtumiaji mzuri wa BANGE na Cocaine (nashangaa Bashite hakumtaja kwenye orodha yake)
3: Nabaini Kuna mgongano wa kimalezi kwa MACHOTARA (watoto) wake yeye na mzazi mwenzie (MZUNGU njaa) hali inayopelekea huduma zao kupitia katika MIFUKO YA KIJAMII (unaweza kuita KULEANA)

Sasa ndio namfahamu ni kwa nini yeye ni MWINGI wa matusi na maneno ya shombo dhidi ya WAPINZANI wake.

Swali la kujiuliza JE..? ni kweli ana amani kama ile tunayojivunia na kujitapa kama WATANZANIA..?!
Kwa maana, ni kweli anapata amani ya kutembelea popote awapo nchini kama watu wengine...!!

Hili nalo linamuumiza kweli kichwa chake..

Baada ya kupata BACKGROUND yake nimegundua kuwa mtu huyu (MANGE/BANGE) anahitaji "Kanseling" ya kiwango cha juu, ama kiwango cha Kimataifa zaidi ya zile zinazo tumiwa kwetu hapa kuelekea "SoberHouse"..

Nimegundua huyu mtu hana UHURU ila ana KUFURU...

Nimebaini huyu mtu si mwana DEMOKRASIA ila ni mwana DOMOKRASIA....

Nimebaini mtu huyu sio mwana HARAKATI ila ni mwana SARAKASI....

Nimebaini pia mtu huyu tunaweza kumpa jina kama lile la wale WATANZANIA halisi....YEYE ni DOMOKAYA na yule mzazi mwenzie wa wale watoto WAZUNGU KOKO yeye tumuite MANDOJO.....

Nahitimisha hivyo ndivyo ninavyo mjua MANGE KIMAMBI.

Jamii Forum..
 

Humjui Mange ,kwendraaaaaa
 
we ng'ombe unaitaje miaka zaidi ya 50 ya ccm madarakani na kusema vijana wanataka maendeleo ya haraka haraka?
Acheni kupotosha jamii....
Kwani maendeleo ya watu yanahitaji kupigiwa debe ili wananchi wayaone?
Kwa nn kupiga mayowe badala ya kuacha wananchi wayaone wenyewe?
Elimu bure, walimu wa kutosha, soko la uhakika mazao ya kilimo, bashite kufungwa jela kwa kufoji vyeti na kuvamia kijeshi na kijambazi kituo cha tv, mafisadi kufunguliwa mashitaka kwenye mahakama ya mafisadi, maisha bora
 
Dada fulani hivi wa kipare...Whistle blower from United States of America...
 
haka ni kamalaya flani kanajiuza huko marekani.
Hii ni sawa na kusema viwete na vilema na vipofu wasifuatilie mambo ya nchi Yao na kutoa tahadhari na maoni yao.......
Ni bora kujikita kwenye hoja badala ya kujadili hali ya mtu.....km mhusika huyo mwenye kilema anataka haki itendeke kwa bashite kuchukuliwa hatua kwa uovu wake wkt wewe uliyetimamu upo kimya hapo nani ni Malaya zaidi ya mwenzake?
 
Kuporomoka kwa maadili kwa vijana ni kwa ajili ya mange! Au vijana wa leo si wa enzi za Tanu na mtu akisema ukweli anaropoka,! Ww subili tu utulie sindano ikukolee vizuri!
 
So mtu akikwambia korodani zangu za kijani unamuamini just like that!! Hii akili au matope

Mkuu taarifa si wanatoa wale uliowavulia chupi? Kwani wewe unadhani Mange details anatoa wapi? Ni watu wanamtumia na yeye anaweka kwenye mtandao wake na 99% zinakuwa za kweli.
 
Mnataka kuliamsha DUDEEE in gwajima voice ha ha ha ila worlper sijui alijisahau vipi kwenda kumtikinyua mange mbona kakoma
 
Mange ni Mtanzania mmoja mwenye matatizo ya akili.

Ni coward anayetumia fursa ya kuwa mbali/nje ya nchi kutukana na kudhalilisha wengine, asingefanya huo upuuzi kama angekuwa anaishi Dar au Arusha.

Ni mpotoshaji na nyingi ya taarifa anazotoa si sahihi, na anatumiwa na macowards wenzake waliopo nchini kumpa hizo taarifa yeye kazi yake ni kuzisambaza tu.

Ni Mwanamke asiyeona mbele, mawazo yake ni kwa wakati uliopo tu, anaibua uadui kila leo kana kwamba hao anaowaumiza hawana uwezo wa kulipiza kisasi...yeye hudhani kuwa uwezo wa kutukana na kudhalilisha amejaliwa yeye tu na wengine jukumu lao ni kuwa Waumizwaji.

Kuhusu kushangiliwa sio hoja sana kwani hata kina dada wa kanga moja hukusanya umati wa watu huku kelele na mbinja zikimhanikiza dada aendelee kufanya anachofanya...sidhani kama utatafsiri kuwa huo ni ushabiki wenye tija wakati anayedhalilika ni yule anayecheza uchi.

Kwa kuhitimisha ni kumkumbusha kuwa anao watoto n.k, hao anaowaumiza sio mawe, na watatafuta njia wanayoona inafaa ya kulipiza kisasi hata kama sio kwake yeye moja kwa moja...kama yeye ni shetani akumbuke pia kuna shetani miongoni mwa hao anaowaumiza...wapo/yupo ambaye hatojali anachokifanya kinaharibu kiasi gani zaidi ya kuona tu amelipiza kisasi.
 
Matumizi ya lugha yalishaporomoka kitambo sana. Wala Mange hausiki kabisa na hiyo misamiati migumu.
 
Eti.nchi hospital.hazina hata panadol. Na ikitokea ukaongea hapa tz utapotezwa tu maana hakuna namna.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…