Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unanifanya nijiulize mara tatu tatu Uganda gani? Ni hii hii iliyoshindwa kumuondoa jamaa mmoja madarakani zaidi ya miaka 28? Inaweza kuwa miaka hata 32 au zaidi. Tangu enzi za Mwinyi, Mkapa, Kikwete, hadi sasa Magufuli yeye bado anatawala tena kibabe kuliko huyo Bashite. Kamuulize nduguyo Basigye atakuambia bora huko TZ. Sasa nashangaa huoni hili au unatumia kilevi gani?Bashite angekuwa kwetu Uganda siku nyingi wangezaa nae ni ingekuwa story ingawa mnasema ni mchawi sana lakini hizo hirizi zake zingetenguliwa haraka na angelazwa chali atulie hospital kama miaka 4 hivi, huko Dsm naona mnamuogopa sana ilitakiwa mda huu awe kijijni koromije anavua samaki.
Nimemfahamu Mange kimambi kupitia staff wenzangu wapenda udaku...Walikuwa kila wakifika ofisini nasikia habari za huyu Dada/mama mara kasema hili mara kamchamba fulani... Kwa jinsi nilivyokuwa nikiwasikiliza nilianza kusikia kushawishika kutaka kumfahamu vizuri... kuona uzuri wake na wakati mwingine mabaya yake ni kweli anayo kama anavyo simuliwa.Habarini wanajamvi,
Nimekuwa nikimsikia mwanadada Mange Kimambi kama Mwanamama na Mwanaharakati Wakitanzania anayeishi nchini Marekani anaefanya harakati zake kwa njia ya Mitandao ya Kijamii kama vile INSTAGRAM na FACEBOOK.
Mwanamama huyo amekuwa akitoa hoja mbali mbali ziwe hasi au chanya zinazohusu Serikali, Taasisi na hata watu binafsi na anaonekana kupata mashabiki wengi hasa vijana wanaotumia mitandao hiyo ya kijamii.
Je? Mwendelezo wa harakati hizi unaweza kuwa na athari gani kwa vijana na watu wa rika zote wanaomfuatilia?
Nimemfahamu Mange kimambi kupitia staff wenzangu wapenda udaku...Walikuwa kila wakifika ofisini nasikia habari za huyu Dada/mama mara kasema hili mara kamchamba fulani... Kwa jinsi nilivyokuwa nikiwasikiliza nilianza kusikia kushawishika kutaka kumfahamu vizuri... kuona uzuri wake na wakati mwingine mabaya yake ni kweli anayo kama anavyo simuliwa.
Nilianza kumtafuta kupitia instagram....Kwa bahati nakutana na jina lake...natizama kwanza wafuasi wake, napata picha ni aina gani ya watu wanao mfuatilia. Nafungua post kutazama yale yanayo mfanya kujipatia marafiki au maadui kama nilivyokuwa nimeambiwa kabla.
Natamalaki napatwa na mshangao, nakutana na Mambo (post) mbalimbali, nyingi akiwatukana watu (vingozi wetu) na wengine waliyo onekana kwenda kinyume na kile anacho kiamini yeye.
Najiuliza huyu ni mtu wa aina gani...!? Mbona anatumia nguvu nyingi na hatarishi katika kufikisha ujumbe kwa wafuasi..!! Mbona anatumia maneno makali as if yeye sio wa nchi hii...?!
Naanza kupata picha nagundua kuwa yeye ni mama wa MACHOTARA wawili..
Nabaini kuwa alitusaliti ndugu zake na kuamua kumpa TUNDA lake MZUNGU (choka mbaya) ambaye ndie kama chanzo Cha MATATIZO yote yanayo mkumba kwa sasa.
Nashangaa.... mbona wengi ya wale anao washambulia kwa matusi wako katika kipindi cha KWAREZIMA...!! Hivi yeye (Mange) hautambui mwezi huu MTUKUFU..!?
Nafanya utafiti nabaini haya machache:-
1: Mange Kimambi ni mtu anaetumia KILEO (Pombe) kwa kiwango kikubwa..
2: Mange Kimambi ni mtumiaji mzuri wa BANGE na Cocaine (nashangaa Bashite hakumtaja kwenye orodha yake)
3: Nabaini Kuna mgongano wa kimalezi kwa MACHOTARA (watoto) wake yeye na mzazi mwenzie (MZUNGU njaa) hali inayopelekea huduma zao kupitia katika MIFUKO YA KIJAMII (unaweza kuita KULEANA)
Sasa ndio namfahamu ni kwa nini yeye ni MWINGI wa matusi na maneno ya shombo dhidi ya WAPINZANI wake.
Swali la kujiuliza JE..? ni kweli ana amani kama ile tunayojivunia na kujitapa kama WATANZANIA..?!
Kwa maana, ni kweli anapata amani ya kutembelea popote awapo nchini kama watu wengine...!!
Hili nalo linamuumiza kweli kichwa chake..
Baada ya kupata BACKGROUND yake nimegundua kuwa mtu huyu (MANGE/BANGE) anahitaji "Kanseling" ya kiwango cha juu, ama kiwango cha Kimataifa zaidi ya zile zinazo tumiwa kwetu hapa kuelekea "SoberHouse"..
Nimegundua huyu mtu hana UHURU ila ana KUFURU...
Nimebaini huyu mtu si mwana DEMOKRASIA ila ni mwana DOMOKRASIA....
Nimebaini mtu huyu sio mwana HARAKATI ila ni mwana SARAKASI....
Nimebaini pia mtu huyu tunaweza kumpa jina kama lile la wale WATANZANIA halisi....YEYE ni DOMOKAYA na yule mzazi mwenzie wa wale watoto WAZUNGU KOKO yeye tumuite MANDOJO.....
Nahitimisha hivyo ndivyo ninavyo mjua MANGE KIMAMBI.
Jamii Forum..
we ng'ombe unaitaje miaka zaidi ya 50 ya ccm madarakani na kusema vijana wanataka maendeleo ya haraka haraka?Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Huyo dada sio mwanaharakati, sema ni mtukanaji maarufu asie ogopa. Duniani kwote hakuna mwanaharakati anaetukana hovyo.Ni mwanaharakati anayefichua maovu ya serikali na kushambulia wote wanaotetea uovu huo. Kwa kipindi cha miezi 6 serikali imeongeza wafuasi 900000 wa mange sababu ya kutojirekebisha.
Hii ni sawa na kusema viwete na vilema na vipofu wasifuatilie mambo ya nchi Yao na kutoa tahadhari na maoni yao.......haka ni kamalaya flani kanajiuza huko marekani.
kaBISA MKUU YULE NIMTUKANA MATUSI TU WA MITANDAONITwambie anafanya kazi gani maana kihelehele kama unamjua....yule kazi anayofanya ni 'umalaya' na hii inathibitisbwa na aina ya matusi anayoporomoshea watu inaonesha kuwa sio mzima...
So mtu akikwambia korodani zangu za kijani unamuamini just like that!! Hii akili au matope
Matumizi ya lugha yalishaporomoka kitambo sana. Wala Mange hausiki kabisa na hiyo misamiati migumu.Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.
Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.
Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.
Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Eti.nchi hospital.hazina hata panadol. Na ikitokea ukaongea hapa tz utapotezwa tu maana hakuna namna.Wajinga ni wale wasiojirekebisha baada ya kukosolewa na mange, mfano issue ya kununua ndege wakati wagonjwa Muhimbili wanalala chini, shule hazina walimu wa kutosha na nyumba za kuishi watumishi wa shule na madaktari huku wasio na vyeti wakifukuzwa kazi lakini Daud bashite yy kabakia kazini, ni aina ya mifano inayompa nafasi mange kupata wafuasi zaidi kwani amethubutu kusema ukweli ingawa Serikali imeziba masikio hawataki kusikia kitu.