Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.


Wewe ndio uelewa wako mdogo. watu wanatoa mpaka ushahidi halafu unaleta dharau hapa???
 
Siku zote Ninaamin kwa mtanzania anayejua kusoma na kuandika TU, akikumbatia Mambo ya Bashite, Bas Si mlaum sana,Kuna uwezekano aliingia chooni, ila kwa bahat mbaya wakat anatoka akasahau kuchukua akili zake alizokua ameacha mlangoni wakat anaingia, akajikuta anatoka na zile zile chache alizoingia nazo ndan kumsaidia Asijinyeee, Kwa maana ukiingia chooni akili Zote zinazokutambulisha ulivyo unaziacha mlangoni, unaingia na zile za kulengea shimo tuu. Na ukijitia mbabe unaingia nazo zote basi jua ukifka kule zinagawana , nusu ya kulengea shimo, Nusu inayobak ndo unaitumia kuandika comment ukiwa choon, Matokeo yake n Upupu km huu wa kumsifia bashite. Watch Over
 
Ana kazi gani marekani?
 
Bro umesahau birthdate yako, kijiji ulichotoka, shule ulizo soma, Madem ulio watema na waliokutema, buznes unazofanya...naona sasa unaitaji kukumbushwa. Uyu dada anakipaji cha ku deal na mtu mmoja ata kama itamcost mwaka mmoja ili tu ilimradi awini case....Nenda hist kwa maelezo zaid..we post jambo alafu mtag...utampendage. yn anafaa sana kuwa private investigetor..ukitaka kuona unamtumia kujua CVs ya mchumba wako...pro atakupa mpaka details za lini kamtumia jamaa meseji ya mapenzi..Achana Na Mange aitwe Mange..
 
Inasadikiwa ni raia wa marekani si mu tz tena na hatakuja rudi tz ndio maana anakosoa serikali
 
Wanaomfatilia na mashabiki wake wengi ni wale wanaopenda matusi na umbea,hakuna zaidi.Kama huyo Dada angelikua mwanaharakati wa kweli angafanyia shughuli hizo hapahapa nchini na juu ya yote asingekua anatukana matusi ya nguoni kama anayofanya.
 
Duuuuu...
 
Kama unataka kujifunza matusi na udhalilishaji kwa wanaume na wanawake wezake mfollow instagram. Sijapata kuona mwanamke asiye na nidhamu kama huyu dada.
 
Mwenye historia yake atuwekee hapa! Mi mwenyewe namsikia Tu....
 
Mange she is a looser, hana mume, hana wanaume wa maana kazi yake kuwa stress watu walimzidi kimafanikio
 
Jibu swali unataka kujua kazi ya Mangi Kinambi kwani anakula kwako? Umeshawahi kumsaidia? fanya kazi acha majungu.
Hayo maneno ulipaswa kumwambia Mange kwakuwa ndiye ana majungu...msiwe na double standard.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…