mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,120
Hapo ndo tatizo lilipo unahakika gani kwamba mimi nimetembea na fulani kisa tu kasema nimetembea nae? So leo nikikwamba nimelala na Rihanna na mtu mwingine akatokea kusapoti madai yangu utaamini? Hii ni akili au matope
Nasema uelewa wa watanzania na uchambuzi wa mambo bado mdogo sana.
Wewe ndio uelewa wako mdogo. watu wanatoa mpaka ushahidi halafu unaleta dharau hapa???