unaelewa tafsiri ya mtu mzalendo?
Mzalendo ni mtu anayeipenda nchi yake na yupo tayari kufa kwa sababu ya kuitetea nchi yake. In fakti inawezekana 80% -90% ya watz wote si wazalendo.

AtIla ukweli Kimambi ni mzalendo, anashindwa tu afanyeje.