D
DeletedMember281674
Guest
Mwanasheria wa Serikali alisema atamrejesha Mange KIMAHAKAMA, iliishije???
Pambaneni sana wakati huu mpate katiba mpya.Huyu Mange ni zaidi ya CIA anajua kucheza na akili za wadanganyika.
Katika kipindi ambacho serikali, wapinzani na wananchi wanadai katiba Mange Kimambi awa kinyume na makundi yote akidai matusi aliyokuwa anatoa ilikuwa ni mental health problem iliyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Tupambanie katiba au tutoke kwenye reli? Tumsubirie Mange Kimambe apone kwanza au Tumuombee msamaha kwa Mh. Rais? Huenda Mange ni double agent anayecheza na akili za watanzania
Kesi yake mahakama ya kisutu unaendeleaje?Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza kuwashambulia.
Nakumbuka Wema Sepetu alipata mtoto, Mange alimpinga hadi kufikia kutaka mtoto huyo apewe jina la “Kifo”. Baadaye, Zuchu na Diamond Platnumz walipopata mtoto, "MwanaKukua", naye aliwakosoa Watanzania waliokuwa wakimpa mtoto huyo support.
Sasa Dudu Baya anaendesha kampeni ya kuhamasisha Watanzania kulinda migongo yao, lakini Mange bado anaipinga. Niffer naye amejitolea kumsapoti Mtanzania mwenzake, Jihan, anayeshiriki Miss Grand, lakini kwa sababu Niffer amekuwa akitrend, naye amekuwa akishambuliwa.
Sasa kosa la Niffer ni nini? Kumsaidia Mtanzania mwenzake?
Mange anapaswa kuelewa kwamba si kila siku lazima yeye awe kwenye trend. Leo ni wakati wa Dudu Baya, kesho Niffer, na siku nyingine ni mtu mwingine.
Wakati wako ukipita, ukubali wengine nao wang’ae. Mwanga wa mwingine haupunguzi mwanga wako.View attachment 3682354
Siku zote wanasema hakuna adui mbaya kama adui wa ndani. Mwigulu siku zote amejijengea chuki na raia- (wanaharakati, vyama vya upinzani na wananchi) akiaamini yu salama ndani ya CCM na serikali. Tumeanza kusikia mwamgwi and "he better watch his back maana hali ni mbaya "Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu.
Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa kuongoza nchi.
Hivyo kupuuzia scandal ya mwigulu ety kwa kuogopa kutumika haina maana, kikubwa wote ni adui wa wananchi, kila mtu kwa wakati wake.
Hana ubavu huo! Mbele ya mafao?!Yote kwa yote Mwigulu Sasa apunuguze kiburi na kuropoka kama mtu asiyejitambua.
Watz wamekaa tamaa, habari yoyote inyowapa matumaini wanakimbilia hata kama ni ya uongo