Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Ni maanndAlizi ya mnukisho utakaofanyika 29/10/2026.
Kapoteza kuaminika kama yule mwenye mdomo mzito 2014
Your persistence is remarkably well. I like your spiritNi maanndAlizi ya mnukisho utakaofanyika 29/10/2026.
Huwa mnasema hivyo hivyo halafu likitokea la kutokea mnakimbilia kwenye uzi wake kutoa feedbackKapoteza kuaminika kama yule mwenye mdomo mzito 2014
Kigogo anaaminika siku hizi?Huwa mnasema hivyo hivyo halafu likitokea la kutokea mnakimbilia kwenye uzi wake kutoa feedback
Kigogo anaaminika siku hizi?Huwa mnasema hivyo hivyo halafu likitokea la kutokea mnakimbilia kwenye uzi wake kutoa feedback
Hakikisha unawahi kidogo leo ili bomu likukute mwepesiMuda wangu wa nyeto huo
Kesha dokeza, DIPU!!!! Yupi huyo tutamjua baada ya kufuturu saa 1 usiku. Nitahakikisha naziminya ashua zangu ili umeme usikatike.
Saa 1 ipi am au pm