Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Muda wangu wa nyeto huo
Mzee hata kuku wanakuwa hawajarudi wote bandani...aiseee!!!
Muda wangu wa nyeto huo
Haa Kadada siku hizi kanapatikana mtandao gani Twira?
Shida ya Mange huwa anakuza taarifa ndogondogo,
Fanya maandalizi ya kumpokea Jihan na rozi roisi najua ulipiga kura mremboLabda km kuhusu mengineyo, ila la malkia Jezebel mmmh, ni uongo.
Yuko lele lele, aache kutupanga hapa sasa.
Jezebel 🙌🙌Labda km kuhusu mengineyo, ila la malkia Jezebel mmmh, ni uongo.
Yuko lele lele, aache kutupanga hapa sasa.
😂😂😂Jezebel 🙌🙌
Sina huo mda wa upuuzi, kwani huyo Jihan mbona hata sio mtanzania, ni Lebanese.Fanya maandalizi ya kumpokea Jihan na rozi roisi najua ulipiga kura mrembo
Saa 1 jioni ni am, mkiambiwa elimu ni muhimu mnabisha.Saa 1 ipi am au pm
MUNGU akupe maisha marefu tunangoja hiyo mida
Mkuu hata mimi sina elimu,naomba unieleweshe,Saa 1 jioni ni am, mkiambiwa elimu ni muhimu mnabisha.
Dishi limeyumba.Mkuu hata mimi sina elimu,naomba unieleweshe,
Jioni inakuaje iwe am?