Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Wale wanyetishaji walokua wanatuletea za ndaaani tena za uhakika ni kwamba wametolewa jikoni au vipi?
Yaani jf saivi tunaokoteza okoteza tu vitaarifa dah!
 
Jana nilivoona mapicha ya mjane huko twitter nikakuwaza ww mkuu 😂😂😂
😂😂😂 umbea utaniponza nakuambia, yaan majuzi tumekaa sehemu tunabishania hilo suala la mjane, sasa si kuna nyeti nilizipata, nisianze kuropokwa, kumbe tumekaa pale kuna waja wana cons na polisi, wakaamua kuwastua wawili ili tu wanikomeshe, mahi asalale hawa hapa, wananiambia ukasaidie polisi, nilikuwa mdogo km pritoni, nisianze kuomba radhi na msamaha, wananikomalia hatari, wee mwenzio jasho linakotoka na sijui, 😂😂😂😂 baadae wakaniambia nisiwe naongea vitu ambavyo sina ushahidi navyo.

Wametoka wale polisi. Wenzangu wameanza kunisaula kumbe muoga na polisi, walitaka kunikomesha na huu umbea wangu, nimekoma mie.

Jamani Polisi hawazoeleki, aaah wee.
😂😂😂😂
 
Pole aisee 😂😂😂😂 mimi nikiwa nnje ya jf sithubutu kumzungumzia mjane na serikali yake,hawana masihara hawa saivi nisije nikaacha ugali wa uraiani 😂
 
Acha tu mahi, yaan nikawa nawaza hapo sipelekwi kituoni ni kupotezwa mazima.

Wangeendelea kunikomalia, sijui km nisingejikojolea palee, 😂😂😂😂

Jamani nimekoma, huu mdomo nimeufunga fuu, akuuh sitaki mie.
 
Back
Top Bottom