Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Kasemaje kwani
Nchimbi, Mwigulu, na wenzie wanatengenezewa case, kuwa wao ndio walio fadhiri kilichotokea Oct 29, hivyo kuwafanya wapoteze sifa ya kugombea urais 2030.

Tume hii iliyoko kazini sasa, ndio itakuja kuwataja nchimbi, Mwigulu na wenzie,

Mtandao umeshika mpini kuhakikisha kiti cha enzi anakaa mtu wao.
 
Vp kuhusu habari za mgonjwa je ni kweli au tuendelee kunywa mtori nyama chini
 
Back
Top Bottom