Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo.

Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo..

Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki..

Alicho kifanya ni gaslighting, na kuwaongelea vibaya wapigania haki,, (Heche) eti amemlea... Sijui alimnunulia pikipiki na kum suggests awe makamu mwenyekiti, na drama nyingi ambazo ni pointless ili tu awateke watanzania.

Hakukuwa na any viable strategy ya haki na misingi ya demokrasia katika press yake.

Ila majibu ya mange mmeyasikia?

Kwanza haja onesha kupanic, haja toka kwenye misingi yake ya kuongelea haki na misingi ya chama hata kama yeye sio mwanachama.

Kaonesha logic invalidity ya maneno ya Lema, kasema ukweli Mchungu ambao unafuata na kuclear wingu la maneno ya shobo kutoka kwa lema(inachekesha sana kusikia kitu ambacho kiko wazi kabisa)

Yaani ukiangalia maneno ya Mange, una tambua fika kabisa she's a genius by birth, ni kheri kabisa. Yaani akili yake haina filter za upumbavu, hana kukwepesha maneno na anakuambia ukweli right in your face hata kama ni Mchungu.

Ni akili kama za mange ndo zilipaswa kushika nchi, ila ndo hivyo wanaishia kuwa threat ya system.

Mimi sema kweli naona kabisa watz tutaendelea kubiruzwa, it requires waking the *** out of manipulations uweze kumwelewa mange, hapindishi maneno, na anabeba maneno yake like she owns it.

She's a woman messiah... Mkatae mkubali. Hata chadema yenyewe kaibeba mikononi.
 
1793687331782.png
 
Tuwekee hizo link tusikilize, maana wengine tunaishi underground mita 200 kwenda chini. Tukija huku ni kama tumeingia mass.😳
 
Daaaah ... Nyie wanawake wa ajabu sana. Wewe kwenu mtakuaje? Ikiwa Mangi unamwona ni Genius? Si mtakuwa vilaza sana? Hili Taifa linahitaji good education.
 
Mange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
Issue ni kuwa, ukiangalia logic na consistency ya maneno ya Mange, huwezi kutoa hiyo fact kuwa she's a big mind.

Angalia jinsi anavyo sema plain truth, ukiweka ego na ulimbukeni pembeni utagundua ninayo yasema
 
Wanawake hawana akili wana emotional power kubwa tu ndo maana kamshinda Lema kwa vichambo
Vichambo?

Hivi unaakili wewe?

Kati ya Lema na Mange nani mwenye vichambo? Lema alikuwa mpaka anatukana matusi, ila hakuwa na point kabisa, hakuna alicho ongea chenye tija na uhalisia wa hali yabkisiasa nchini, alikuwa anaji mwambafy kuwa kawasaidia wa kina Heche, sasa hiyo inahusiana vipi na ukweli ulio wazi na hali ya Lissu?
 
Right in your face akiwa nyuma ya kamera bila hadhira kila mtu anaweza.

Mange ni crazy!

Mtu akijiona yeye ni msafi zaidi huenda yeye ndo mchafu.
Mange hajawahi kula hata 100 ya mbogamboga?

Anachofanya mange si kitendo cha kiungwana. Kama alikua na ushahidi wa lema angeuwasilisha kwa viongozi wa chadema directly na si kutaka kujiona yeye ni perfect au anajua sana

Wako viongozi wengi wanateleza na kupewa onyo na kamati kuu bila kutengeneza taharuki au kumchafulia mtu CV,

Kitendo cha mange kutaka watu wamwone Lema msaliti haijakaa sawa ilihali ushahidi wake ni wa maneno TU.
 
Vichambo?

Hivi unaakili wewe?

Kati ya Lema na Mange nani mwenye vichambo? Lema alikuwa mpaka anatukana matusi, ila hakuwa na point kabisa, hakuna alicho ongea chenye tija na uhalisia wa hali yabkisiasa nchini, alikuwa anaji mwambafy kuwa kawasaidia wa kina Heche, sasa hiyo inahusiana vipi na ukweli ulio wazi na hali ya Lissu?
Pointi aliyoongea ni Lisu atoke na maridhiano ya kweli
 
Ungesema Mange ni miongoni mwa wanawake wenye akili inge sound vizuri ila kusema et hakuna top zaidi yake ni kiichekesho cha karne
Nimeongea kwa punchline mdogo wangu,

Najua ninacho maanisha. ILa nadhani hata wewe umeelewa. She's a brilliant mind.

Ana mesh ya logic na intuition which is indeed needed katika kufanikiwa. Hawa ndo wanawake wa kuweka ndani... Yaani ukizingua unachanwa makavu bila chenga. Na ukizingua ana admit kabisa kuwa hapa nimefeli
 
Back
Top Bottom