adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Ndio hakuna asiyekuwa na mapungufu, hata Mimi Mange kwenye baadhi ya mambo namkubali mfano ;Hata wewe unamapungufu sio ajabu kwa yeye kuwa na mapungufu
1. Mara nyingi sio mtu wa kukurupuka na habari uchwara kama wanaharakati wengine na hadandii ajenda hovyo anajua vitu vya kupuuza na vya kuongelea
2. Kuna wakati alisoma mchezo vizuri na kuonya wanaharakati wenzake baada ya MO29 kuwa wasipange maandamano hovyo sasa Ccm imejipanga vyema wataua hiyo movement ikiwa kila muda wanapanga na yanafeli matokeo yake hawakumsikikiza yakawa yanafeli hovyo mpaka sasa movement imepoa
Hapo na mengineyo Mange kwenye angle hiyo alikuwa Genius lakini bado ana mapungufu mengi na safari ndefu kumuweka kuwa GOAT kwa Wanawake that's is nonsensical