min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mbona anasema na amesha semaNa hawezi sema watu wakalale sababu yeye sio mjinga hivyo
Mbona anasema na amesha semaNa hawezi sema watu wakalale sababu yeye sio mjinga hivyo
Lini alisema watu wakalale na wakaenda kulalaMbona anasema na amesha sema
Unaji contradict mwenyewe ila ukweli una ufahamu kuwa Mange ni top..Ndio hakuna asiyekuwa na mapungufu, hata Mimi Mange kwenye baadhi ya mambo namkubali mfano ;
1. Mara nyingi sio mtu wa kukurupuka na habari uchwara kama wanaharakati wengine na hadandii ajenda hovyo anajua vitu vya kupuuza na vya kuongelea
2. Kuna wakati alisoma mchezo vizuri na kuonya wanaharakati wenzake baada ya MO29 kuwa wasipange maandamano hovyo sasa Ccm imejipanga vyema wataua hiyo movement ikiwa kila muda wanapanga na yanafeli matokeo yake hawakumsikikiza yakawa yanafeli hovyo mpaka sasa movement imepoa
Hapo na mengineyo Mange kwenye angle hiyo alikuwa Genius lakini bado ana mapungufu mengi na safari ndefu kumuweka kuwa GOAT kwa Wanawake that's is nonsensical
Ni diaspora wangapi wanaishi marekani na ulaya hawajifka hata robo ya mange na ni wanaharakatiKuletewa info na kuzitoa kunamfanyaje kuwa akili kubwa, tena kubwa kuliko wanawake wote? In which angle unaongelea ukubwa wa akili zake?
Hata wewe ukiishi USA ukaamua kuwa whistle-blower ukatengeneza network yako utashindwa?
Mtu aliyekuwa ndani ya chama akagombea nafasi mbalimbali akapigwa chini akaamua kuwa mwanaharakati tena nje ya nchi ambako kuna freedom of speech unampaje title ya kuwa mwanamke mwenye logic kuliko wote, mtu ambaye akizidiwa hoja huko mtandaoni qnablock watu, just like her counterpart Maria.
Binafsi sioni!
Unaomba msaada baada ya kushindwa kutetea hoja yakoBufa msikie huyu😅
Weka mihemko na ujinga pemneniWw unamuona ana akili kwa sababu ww ni mpumbavu.
Yeah nimeomba msaada baada ya kushindwa , kuna tatizo kwani?Unaomba msaada baada ya kushindwa kutetea hoja yako
Sasa unazushaje hoja ya uongo au unamtuhumu mtu uongo ili upate faida ganiYeah nimeomba msaada baada ya kushindwa , kuna tatizo kwani?
Nimezusha uongo upi?Sasa unazushaje hoja ya uongo au unamtuhumu mtu uongo ili upate faida gani
Nimekuambia unionyeshe uthibitisho siku mange aliyosema watu wakalale na wakaenda kulalaNimezusha uongo upi?
Komaa na mada acha kudakia maoni yangu, hayo ni maoni binafsiSasa unazushaje hoja ya uongo au unamtuhumu mtu uongo ili upate faida gani
Vi gen z mnaendeshwa na kina nifa , sembuse mange?Nimekuambia unionyeshe uthibitisho siku mange aliyosema watu wakalale na wakaenda kulala
Kwamba umeweza kuiona hilo basi ni nasema yafwatayooSahihi, Mange ana vitu vingi vizuri kuliko asivyokuwa navyo. Angefanya kazi kama taasisi angekuwa tishio, maana gape zake zingekuwa filled na wengine.
Uwezo wake wa kuelewa mambo na kufanya situational analysis ni mkubwa sana.
Kwamba kila diaspora afanye anachofanya Mange? Kila mtu si anaamua nini afanye kama career yake mkuu? Yule dada ni mwanasiasa/mwanaharakati ndio maana kajiingiza kuikosoa serikali.Ni diaspora wangapi wanaishi marekani na ulaya hawajifka hata robo ya mange na ni wanaharakati
Kama ndo unafikiri a haya basi unahitaji some growthSijajua , ila ni mbaya mno kuweka matumaini kwa mtu anaye pupu na kuumwa nnjaa kama wewe , ipo siku atakushangaza😅