Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 461
- 915
Job true true 😂Sijajua , ila ni mbaya mno kuweka matumaini kwa mtu anaye pupu na kuumwa njaa kama wewe , ipo siku atakushangaza😅
Job true true 😂Sijajua , ila ni mbaya mno kuweka matumaini kwa mtu anaye pupu na kuumwa njaa kama wewe , ipo siku atakushangaza😅
Mno, nahitaji kukua hata hivyo.Kama ndo unafikiri a haya basi unahitaji some growth
Ukiwasoma /chunguza nyumbu wa Serengeti utagundua kituJob true true 😂
😂😂 Nyumbu always hata umshauri vipi bado ataishia kuliwa na mambaUkiwasoma /chunguza nyumbu wa Serengeti utagundua kitu
Kuna yule shangazi nae kawapoteza manyumbu bado hayaelewi tu😅😂😂 Nyumbu always hata umshauri vipi bado ataishia kuliwa na mamba
Ni sifa ya nyumbu kutokuelewa 😂Kuna yule shangazi nae kawapoteza manyumbu bado hayaelewi tu😅
Hahahah, hawajui hizo swaga zao zinaua imani ya wananchi kwa chama , chama bila protocol ni kuyumbishwa na waropokali tu, watu wataona hawa wote hamnazoNi sifa ya nyumbu kutokuelewa 😂
Nimeangolea diaspora wanaharakati acha kujifanya hujui kusomaKwamba kila diaspora afanye anachofanya Mange? Kila mtu si anaamua nini afanye kama career yake mkuu? Yule dada ni mwanasiasa/mwanaharakati ndio maana kajiingiza kuikosoa serikali.
Inafurahisha kuona Heaven on Earth bado yko active kati ya walio tajwa hapo
Hakika, kigugumizi anacho kweli na haiwezi kuwa changamoto kwakeIla Mange yupo composed sana anapoeleza jambo, utaona kama lina kigugumizi ila ndio linashuka point na reasoning. Pengine kuishi US kumempa utofauti na haya magunya yetu
Mambo ya niffer yanatoka wapi wewe leta ushahidiVi gen z mnaendeshwa na kina nifa , sembuse mange?
👏👏 naona unajifunza kuomba ushahidi, kongole kwakoMambo ya niffer yanatoka wapi wewe leta ushahidi
Mkuu nilikuwa nimeandika comment ndefu sana,Kuletewa info na kuzitoa kunamfanyaje kuwa akili kubwa, tena kubwa kuliko wanawake wote? In which angle unaongelea ukubwa wa akili zake?
Hata wewe ukiishi USA ukaamua kuwa whistle-blower ukatengeneza network yako utashindwa?
Mtu aliyekuwa ndani ya chama akagombea nafasi mbalimbali akapigwa chini akaamua kuwa mwanaharakati tena nje ya nchi ambako kuna freedom of speech unampaje title ya kuwa mwanamke mwenye logic kuliko wote, mtu ambaye akizidiwa hoja huko mtandaoni qnablock watu, just like her counterpart Maria.
Binafsi sioni!
Sio najifunza huwezi zusha tuhuma alafu ukategemea watu wakae kimya👏👏 naona unajifunza kuomba ushahidi, kongole kwako
Namanisha kwa nyie wanawake wa Jf Mange akasomeHagusi ki vipi?
Sijaelewa
Mbona sijaona sababu za wewe kusema ulicho sema mpaka sasa? Kama sio chuki binafsi ni nini sasa?Sina chuki na mange napenda mnoo kutetea gender yangu ila kwenye postive tu
Ukiondoa taarifa anazovujishiwa ni wakaida kwenye reasoning
👏Sio najifunza huwezi zusha tuhuma alafu ukategemea watu wakae kimya