Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo.

Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo..

Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki..

Alicho kifanya ni gaslighting, na kuwaongelea vibaya wapigania haki,, (Heche) eti amemlea... Sijui alimnunulia pikipiki na kum suggests awe makamu mwenyekiti, na drama nyingi ambazo ni pointless ili tu awateke watanzania.

Hakukuwa na any viable strategy ya haki na misingi ya demokrasia katika press yake.

Ila majibu ya mange mmeyasikia?

Kwanza haja onesha kupanic, haja toka kwenye misingi yake ya kuongelea haki na misingi ya chama hata kama yeye sio mwanachama.

Kaonesha logic invalidity ya maneno ya Lema, kasema ukweli Mchungu ambao unafuata na kuclear wingu la maneno ya shobo kutoka kwa lema(inachekesha sana kusikia kitu ambacho kiko wazi kabisa)

Yaani ukiangalia maneno ya Mange, una tambua fika kabisa she's a genius by birth, ni kheri kabisa. Yaani akili yake haina filter za upumbavu, hana kukwepesha maneno na anakuambia ukweli right in your face hata kama ni Mchungu.

Ni akili kama za mange ndo zilipaswa kushika nchi, ila ndo hivyo wanaishia kuwa threat ya system.

Mimi sema kweli naona kabisa watz tutaendelea kubiruzwa, it requires waking the *** out of manipulations uweze kumwelewa mange, hapindishi maneno, na anabeba maneno yake like she owns it.

She's a woman messiah... Mkatae mkubali. Hata chadema yenyewe kaibeba mikononi.
Napunguza akili yake kwa kiwango kikubwa pale alipopambana na Magufuli huku akijua JPM alikuwa jembe lililoletwa na Mungu.
 
Labda ongelea wanawake wa familia yenu.
Mama yako, dada zako mshangazi mabibi NK.
 
Lema kafungwa, kamsaliti kaka yake mpaka uchagani walimnazodoa..Leo, anaona anataka kutolewa wkenye mstari kisa wanaharakti wanaoishi ulaya .
 
Jamaa kasema kuliko wanawake wote ni makisio tu na uwajibikaji na nadhani katumia kipimo cha wanawake wa Tanzania..ila nisilo na shaka nalo ni kuwa hapa Tanzania hakuna SHEKH HATA MMOJA ANAYE WEZA KUFIKIA AKILI YA MANGE JAPO NAYO NI DUNI ILA HAKUNA SHEKH MWENYE KUZIFIKIA HATA KWA ASILIMIA 60%
Watanzania wengi huwa hawachuji vitu mkuu, yaani kuna mtu kaja kusema kwa comment eti, "hata mama yako mzazi"

Sasa unakaa kujiuliza kama akili yake ndo imemtuma hivyo ata elewa hoja za Mange kweli?
 
Nimeongea kwa punchline mdogo wangu,
Kanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani 😆
Najua ninacho maanisha. ILa nadhani hata wewe umeelewa. She's a brilliant mind
Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba pia
Nikuulize ukitoa hicho nini kingine kinafanya uone ni top ?

NB : sina chuki nae naongea fact
Ana mesh ya logic na intuition which is indeed needed katika kufanikiwa. Hawa ndo wanawake wa kuweka ndani... Yaani ukizingua unachanwa makavu bila chenga. Na ukizingua ana admit kabisa kuwa hapa nimefeli
Wewe unapenda kukosolewa 😅
 
Jamaa anajidhalilisha sana kwa huo mtazamo wake.
Inaonyesha ni kiasi gani alivyo kuwa mtu wa kukurupuka.

Mtu kuwa sahihi kwenye jambo Moja au mawili kati 100 sio kipimo cha akili , bora angekuwa specific labda kwenye angle Fulani na sio kuGenerelize .

1. Mange aliwahi kuwa chawa wa Samia

2. Mange alikuwa anadhalilisha watu na kutoa kwenye reli kwa mambo ya kipuuzi na video chafu

3. Mange ndiye aliyehakikisha Jeshi kutakuwa pamoja na waandamanaji

4. Na mengineyo mengi tu .
 
Wajinga lazima msifiane.kama mange unamuona ana akili basi wewe ni mjinga wa mwisho.Maana kama unaona mtu kuongea ongea na kuropoka mambo bila ushahidi ndo akili wewe utakua ni mfu kifikra.Huo ujinga malizaneni wenyewe uko bila kuhusisha wanawake ze tu.
 
Inaonyesha ni kiasi gani alivyo kuwa mtu wa kukurupuka.

Mtu kuwa sahihi kwenye jambo Moja au mawili kati 100 sio kipimo cha akili , bora angekuwa specific labda kwenye angle Fulani na sio kuGenerelize .

1. Mange aliwahi kuwa chawa wa Samia

2. Mange alikuwa anadhalilisha watu na kutoa kwenye relief kwa mambo ya kipuuzi na video chafu

3. Mange ndiye aliyehakikisha Jeshi kutakuwa pamoja na waandamanaji

4. Na mengineyo mengi tu .
Ukiona mtoto wa kiume ana support mtu mwenye sifa hizo chafu hapo juu ujue anapenda umbea kama wanawake.
 
Jamaa kasema kuliko wanawake wote ni makisio tu na uwajibikaji na nadhani katumia kipimo cha wanawake wa Tanzania..ila nisilo na shaka nalo ni kuwa hapa Tanzania hakuna SHEKH HATA MMOJA ANAYE WEZA KUFIKIA AKILI YA MANGE JAPO NAYO NI DUNI ILA HAKUNA SHEKH MWENYE KUZIFIKIA HATA KWA ASILIMIA 60%
Mkuu hzo asilimia ni nyingi hata 10% hayupo .
 
Kanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani 😆
You know me quite sure, punchlines are my favorites

Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba pia
Nikuulize ukitoa hicho nini kingine kinafanya uone ni top ?

NB : sina chuki nae naongea fact
Issue sio tu kuwa imejengwa kwa misingi ya wengine...

Mange anajua vyema kuelewa logic behind maneno ya mtu, anajua na ana utashi mzuri wa kuelewa reason behind arguments. Alaf anaweza sana kupambanua hoja ngumu into simple and understandable words(haihitaji uwe na masters au degree kuwa hivyo)

Ni top pia kwasababu she can use a challenge as an opportunity. Yaani kama nyie naona giza yeye anaweza kuspot Mwangazza hata kama ni mdogo kiasi gani.

Wewe unapenda kukosolewa 😅
Absolutely, yaani mimi mtu akinokosoa kwa kuni chana makavu, aisee huwa namthamini na kum Heshimu sana. Huwa sinaga ego endapo ninachalenjiwa constructively.
 
Right in your face akiwa nyuma ya kamera bila hadhira kila mtu anaweza.

Mange ni crazy!

Mtu akijiona yeye ni msafi zaidi huenda yeye ndo mchafu.
Mange hajawahi kula hata 100 ya mbogamboga?

Anachofanya mange si kitendo cha kiungwana. Kama alikua na ushahidi wa lema angeuwasilisha kwa viongozi wa chadema directly na si kutaka kujiona yeye ni perfect au anajua sana

Wako viongozi wengi wanateleza na kupewa onyo na kamati kuu bila kutengeneza taharuki au kumchafulia mtu CV,

Kitendo cha mange kutaka watu wamwone Lema msaliti haijakaa sawa ilihali ushahidi wake ni wa maneno TU.
Watu wangapi wapo nyuma ya camera na hawawezi

Watu wangapi wanatumia majina bandia na bado wameshindwa kufikia hata asilimia moja ya mange
 
Kanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani 😆

Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba pia
Nikuulize ukitoa hicho nini kingine kinafanya uone ni top ?

NB : sina chuki nae naongea fact

Wewe unapenda kukosolewa 😅
Jiulize kwanini wewe hupewi hizo information bali anapewa mange
Kumbuka wewe unatumia jina bandia
 
Back
Top Bottom