Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mie hata najua kuhusu details nyingine basi najua alisoma Ud. ukiuliza mwaka sijui masters ndio hiyo Dubai...
tukaambiwa education is sexy na sie tukawa inspired ie Lara one na ye kapata yake inshaalah na mie nikikazana nitakua nayo soon.......
Unajua...walau nikijua mwaka aliohitimu hapo UDSM na kozi aliyosomea itakuwa rahisi ku-cross check na watu waliomaliza mwaka huo na pia nitaangalia kwenye vile vi-booklets vinavyoorodhesha wahitimu na majors zao kabla sijaenda utawala kwenye ofisi ya registrar.....
Get my drift? Na hapo ni kwa UDSM tu.....bado Marekani....ambako ni rahisi zaidi kujua kama kweli alisoma college au la!