Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
mie hata najua kuhusu details nyingine basi najua alisoma Ud. ukiuliza mwaka sijui masters ndio hiyo Dubai...

tukaambiwa education is sexy na sie tukawa inspired ie Lara one na ye kapata yake inshaalah na mie nikikazana nitakua nayo soon.......

Unajua...walau nikijua mwaka aliohitimu hapo UDSM na kozi aliyosomea itakuwa rahisi ku-cross check na watu waliomaliza mwaka huo na pia nitaangalia kwenye vile vi-booklets vinavyoorodhesha wahitimu na majors zao kabla sijaenda utawala kwenye ofisi ya registrar.....

Get my drift? Na hapo ni kwa UDSM tu.....bado Marekani....ambako ni rahisi zaidi kujua kama kweli alisoma college au la!
 
Wee...bahati kuolewa na mzungu yahaya...?!!!
Ye mwenyewe ana watoto wa baba tofauti..!!!hebu asirushe jiwe kwenye nyumba ya vioo...!
Angekua wa maana au ana hadhi si angezaa wote kwa mmoja..!
Hahaaaaaa! YAHAYA HAJAFILE BANKRUPTCY CLAIM LAKINI! Afu baba tofauti Mange just 1 kid ndo baba tofauti! BEAUTY WA KIJIJI 4 KIDS 4 FATHERS DOOOOOOOH! Ratio imeimamia 1:4 Hahahaaaaaa!
 
anapenda kumuongelea ndo maana anaanzisha mabeef na watu maarufu kusudi ili aongelewe
Hata angenitelekeza nisingemdharau mama angu mana couzin yangu alitelekezwa na miezi mi3 ila alimtafta mamake yuko chuo mwaka wa pili na alimpata tena NAIROBI..
Na wacha tuendelee kudoda hapa bongo kuliko fake life mamtoni mpaka mnaiba vitu vya watu...
Life ngumu jamani
rudini nyumbani...
Kuna watu wana africans na wako vizuri
Naona ishu ya nauli umeiminyiaaaa! Hahaaaaa!
Subiri mama yako akikute
Ekeza 20yrs n more ndo uje ufungue bakuli lako hapo, my cousin hai hold water!
UDODE MARA NGAPI.? Hahaaaaa!
 
HAHAAAAAAA MBONA BEUTY WA KIJIJI ALIKOSA NATIVE AMERICAN KAZI KUCHUKUA MIGRANTS.? Hahaaa! Na kudumu nao shughuli! Hahaa ndo maana nikakwambia RINGIA BAHATI UZURI HATA TWIGA ANAO! Uzee ule kuishi kama refugeee wakati nchi yako ina amani? Kweli? Hahahaaaaaaa! Chezea migrants wewe?

asa kumbe wote wana michezo michafu yule mkimbizi...!huyu kalazimisha ndoa!
Ila mwambie bosi wako uchorii watamchoma moto mama angu mzazi...!
 
NIMEOMBA CREDENTIALS ZENU WAULIZA SWALI ZA HUKO YALE NA HAVARD SIPEWI! Ndo nangoja! Credentials za muuliza swali zina influence jibu langu! Hahahaaaaa!
NYANI HAONI KUNDULE EEEEEH! Mi ka wewe nimesulubika hapo udsm sikukopa lakini sasa siwezi kumdiss mtu mzazi wake kamuwekea THE AMERICAN DREAM KWENYE SAHANI WAKATI MIE NAISIKIA TU!

Ndo maana nasema credentials za anae diss ni muhimu mnoooo! Kama ingekuwa rahisi kzazi wangu angenipeleka na mie!

hahahaha uzi unamuhusu mange au unatuhusu sie mpaka tukupe details zetu??,?? wewe si umeleta uzi tujue kindakindaki who is mange ndo ujibu maswali yote sasa haswa ya ustaadh swaleh
 
hahahaha uzi unamuhusu mange au unatuhusu sie mpaka tukupe details zetu??,?? wewe si umeleta uzi tujue kindakindaki who is mange ndo ujibu maswali yote sasa haswa ya ustaadh swaleh
Hahahahaaaaa! I GUESS HIO NDO NJIA NYINGINE YA KUSEMA HAMNA CREDENTIALS ZINAZO HOLD WATER! Hahahaaaaa! Mkuki kwa Mange kwenu mchungu kama tula tula au ndulele!
 
Unajua...walau nikijua mwaka aliohitimu hapo UDSM na kozi aliyosomea itakuwa rahisi ku-cross check na watu waliomaliza mwaka huo na pia nitaangalia kwenye vile vi-booklets vinavyoorodhesha wahitimu na majors zao kabla sijaenda utawala kwenye ofisi ya registrar.....

Get my drift? Na hapo ni kwa UDSM tu.....bado Marekani....ambako ni rahisi zaidi kujua kama kweli alisoma college au la!

Mbn mnaumiza.kichwa sana wakala wake si yupo hapa atuambie maana yeye ndo kaleta CV koko hapa kutisha watu
 
asa kumbe wote wana michezo michafu yule mkimbizi...!huyu kalazimisha ndoa!
Ila mwambie bosi wako uchorii watamchoma moto mama angu mzazi...!
Hahaaaa! Kweli we bendera fata upepo beauty wa kijiji ushamtelekeza eeeh! Hahaaaaa! HAUNA EVIDENCE ZA KUSUPPORT KALAZIMISHA NDOA VIPI? Ni maneno yenu tu wakosaji.
 
Ukikopa inatakiwa uwe na dabu sio kujifanya KUMNYALII MTU MZAZI WAKE KAMLIPIA MIDOLARI YA NAULI, ACCOMODATION, ADA, AFYA, ILI APATE A CHANCE OF BETTER EDUCATION. Hio ni ndoto ya kila mzazi sema ndo uwezo unabanaaaaa! Msonde vitu ambavo mzazi wa mtu kajitahidi.

mi siwezi kumsema mzazi wake kwanza hajanikosea na kwa hilo nampa hongera ila sasa mzazi alitwanga maji kwenye kinu.....!
alivyoenda kule akapata na mimba akarudi bongo kuja kubanana...kuonyesha hana shukrani kwa mzee wake akamletea mjukuu..!!
Mi mange ndo namuona hana akili kupenda maugomvi na watu kila siku..m!na hapo ana elimu hvoooo.m.!asa inamsaidia nini....!????
 
usiku mwema wadau.... sikuona fact yoyote zaidi dizaini ilikua kama promotion ya bidhaa Fulani. hivi Leyla baba yake ni NANI???? kwa jina?? maana lawama anapewa Mama, baba yake yupo????

alamski CASE CLOSED.
 
Ukikopa inatakiwa uwe na dabu sio kujifanya KUMNYALII MTU MZAZI WAKE KAMLIPIA MIDOLARI YA NAULI, ACCOMODATION, ADA, AFYA, ILI APATE A CHANCE OF BETTER EDUCATION. Hio ni ndoto ya kila mzazi sema ndo uwezo unabanaaaaa! Msonde vitu ambavo mzazi wa mtu kajitahidi.

Mie hata sioni point yako iko wapi?Kwa hiyo wewe unaona kusoma nje ni dili sana?Wengine nje wanaenda kutembea tu kama kusoma hata hapa bongo vyuo vizuri tu.Kama huyo mange hicho chuo cha dubai hata kwenye top 10000 ya vyuo duniani sidhani kama kipo so huwezi kucompare alieyebaki udsm na huyo wa sijui walong.Na siku zote mtu unakuna panapowasha kama baba yake alikuwa ana hela atleast ingependa tusikie alisoma havard,oxford au hata cambridge lakini huto tucollage tena ada unakuta mbili si bora nibaki hapa hapa tz with my family?
 
Naona ishu ya nauli umeiminyiaaaa! Hahaaaaa!
Subiri mama yako akikute
Ekeza 20yrs n more ndo uje ufungue bakuli lako hapo, my cousin hai hold water!
UDODE MARA NGAPI.? Hahaaaaa!

nauli nayo ya kwenda nje...?!!!kwani ye si alikua anaenda kusoma amaa na anapelekwa?!!si alikua anaenda kuuza nyapu ili apate wa kumsitiri bongo angedoda nani akubali mamba huyooo aliechoma gari la hawara motooo...ukweli ana roho mbaya sanaaa...!!!!
Lara wengine hatuongei maisha yetu sio maarufu...!ila huo nimekupa mfano tu..!
 
Mi nisome tu maana sioni point kabisaa unayotolewa na Lara ,aisee siku nikienda ishi Us ntawataarifu mjue ntakua nshakua tajiriii halaf ntawapigia picha ya kila mahali mnione nipo juu,teh teh jamani ngoja nilale mie,lara huna hoja unakimbiliaa vitu tofautiiii
 
usiku mwema wadau.... sikuona fact yoyote zaidi dizaini ilikua kama promotion ya bidhaa Fulani. hivi Leyla baba yake ni NANI???? kwa jina?? maana lawama anapewa Mama, baba yake yupo????

alamski CASE CLOSED.

Ina maana umeshindwa kujibu huto tuswali twangu?
 
Jamani mie naishi sayari gani? Mbona simjui huyo mange wala yeyote anaezungumziwa hapa? Au mie ni msukule jamani, maana umbea naupenda!! Lol
 
Naona ishu ya nauli umeiminyiaaaa! Hahaaaaa!
Subiri mama yako akikute
Ekeza 20yrs n more ndo uje ufungue bakuli lako hapo, my cousin hai hold water!
UDODE MARA NGAPI.? Hahaaaaa!

nauli nayo ya kwenda nje...?!!!kwani ye si alikua anaenda kusoma amaa na anapelekwa?!!si alikua anaenda kuuza nyapu ili apate wa kumsitiri bongo angedoda nani akubali mamba huyooo aliechoma gari la hawara motooo...ukweli ana roho mbaya sanaaa...!!!!
Lara wengine hatuongei maisha yetu sio maarufu...!ila huo nimekupa mfano tu..!
And thnx to lord my momy has passed away 10years agoo...!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom