Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.
 
Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.

Ingia U-turn blog utamjuaaa tena anzia kusoma matukio ya nyumaa
 
Msichana gani ana miaka 34 kuendeleaa tena utakuta kaipunguzaa maana anajiita ye mdogo kila siku

Heheheee...na yeye anajipunguza umri kama mdogo wake Wema...

Ila kwa hili la shule ngoja nimtetee jamani...Me nakumbuka tulisoma na mabinti wawili wa Dkt Shein shule moja ya Government hapa Dar....
Kipndi kile Dkt Shein ndo makamu wa Rais....na walikuwa wanalipa ada elfu 20 kama sisi.....So hilo linawezekana...

Ila Mange mashauzi apunguze...au Ndo Menopause....Uzee unamjia vibaya? manake age imeenda....!
 
Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.
ni mmama anawatoto watatu.Ana MBA ya dubai,ambayo hawezi pata kazi marekani.Alikua anaishi dubai akahamia US,sasa hakutegemea kama angepata visa alipotua tu marekani akaanza kuwatukana watz waishio huko kwamba ni maskini wakati yeye hana kazi ya maana ambayo inamwingizia kipato.Anawacheka watu wenye RN wakati yeye ana MBA na hana kazi na anaonna noma kurudi shule.
 
Last edited by a moderator:
usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.

nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.

Mkuu plz reputation yako haikuruhusu kubishana na huyu jamaa
Plz naomba uachane nae Angalia tu hata comment zake he has no sense of humour kabisa neither do logical senses so just ignore him mkuu wengi tunakuheshim sana mkuu plz
 
ni mmama anawatoto watatu.Ana MBA ya dubai,ambayo hawezi pata kazi marekani.Alikua anaishi dubai akahamia US,sasa hakutegemea kama angepata visa alipotua tu marekani akaanza kuwatukana watz waishio huko kwamba ni maskini wakati yeye hana kazi ya maana ambayo inamwingizia kipato.Anawacheka watu wenye RN wakati yeye ana MBA na hana kazi na anaonna noma kurudi shule.

Umeniua mbavuuu hahhhha jamaniii aisee kula likeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom