Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.
Kwani Mange ndo msichana gani huyo?
Sasa mbona profile ipo summarized sana utadhani ya kuombea kazi BOT?
Msichana gani ana miaka 34 kuendeleaa tena utakuta kaipunguzaa maana anajiita ye mdogo kila siku
ni mmama anawatoto watatu.Ana MBA ya dubai,ambayo hawezi pata kazi marekani.Alikua anaishi dubai akahamia US,sasa hakutegemea kama angepata visa alipotua tu marekani akaanza kuwatukana watz waishio huko kwamba ni maskini wakati yeye hana kazi ya maana ambayo inamwingizia kipato.Anawacheka watu wenye RN wakati yeye ana MBA na hana kazi na anaonna noma kurudi shule.Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.
Ingia U-turn blog utamjuaaa tena anzia kusoma matukio ya nyumaa
kwa MBA ambayo anaweza kuitumia vyema kuwafundisha watu jinsi ya kujiuza kwenye 5* hotels.unajingine?Sie ndio tushajuaa ni st kayumba za Marekanii,halaf et watu wanamuoneaa wivuuuu kwa lipii
shangingi mmoja hivi yuko US utafikiri yuko tandale kwa tumbo.she is also bipolar.Huyu sijui Mange anafanya nini hapa mjini au sio mkazi hapa mjini?Coz naona kila siku hapa JF lazima nikute thread yake ila simjui vzr anafanya nini mpk awe hot cake kiivyo.
Kwani Mange ndo msichana gani huyo?
blaza umeniwahi sana kuuliza hili swali....! hivi huyu MANGE ndio nani hasa....?
Halaf eti ndio ana utajiri wa Blog watu wanamuonea wivu kwa lipiiiii si angempeleka shule nzuriiii mama majivuno
Maria Roza imaney kipps njoon muoneambo huku shoga yenu mnaemuonea wivu kazi kuvaa mawigi na miwan mikubwa halaf mtoto anasoma st kayumba za Marekani, Kim nana TATIANA Lady kim ICHANA Mrembo by Nature
Teh teh miss neddy njooni
Na Geniverus
usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.
nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.
ni mmama anawatoto watatu.Ana MBA ya dubai,ambayo hawezi pata kazi marekani.Alikua anaishi dubai akahamia US,sasa hakutegemea kama angepata visa alipotua tu marekani akaanza kuwatukana watz waishio huko kwamba ni maskini wakati yeye hana kazi ya maana ambayo inamwingizia kipato.Anawacheka watu wenye RN wakati yeye ana MBA na hana kazi na anaonna noma kurudi shule.
wanamuonea wivu ye anatolewa out kila siku jaman tih tih tih