Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
We unatafuta sababu ya kupata ukimbizi wa kisiasa kwa madai ya kuikosoa serikali. Tafuta mzungu mwingine uolewe huko, maana hii ya kutukana imebuma
Inaonekana unamfahamu vizuri kweli hahahaha umetisha
 
Kama uzi unavyojieleza , yule mwanamama aliyeshindikana hapa Tannzania na mwenye uwezo wa kumchamba mtu yoyote anayeingia 18 zake haijalishi awe na ndevu za shaba au za kipilipili , wigi la brazilian au msuko wa twende kilioni , mpanda vogue au bodaboda , anayeishi masaki au kwa bibi mfuga paka , siku tatu hizi ametoa dozi za uhakika kwa Rachel Temu mdogo wa miss Tanzania Hoyce Temu na leo kaiamkia familia ya mama etu Rita Mlaki , maneno aliyowachamba kimaadili hayafai kuyaposti hapa.....
Nawapa pole wanaoendelea kumchokoza huyu dada, wa Mwache na maisha yake tu ili asiwadhalilishe , hasa wadada manaomtukana kwa accont zenu orijino mnawaponza wazazi wenu.....Sumu haijaribiwi kwa kurambwa , muwe na wikend njema!!!



Chanzo cha ugomvi hao watu wato wanamtukana Mange na familia yake hasa watoto wake walifikia hadi kuedit picha za bint Mange na kuzirusha mtandsoni akiwa uchi, kwahiyo Mange akaamua kudeal na Rachel Temu ambaye alimwambia Mange baba ake alijiua baada ya kulawitiwa....sasa Mange amemwamlia Rachel ambaye saivi anataka kuolewa na Mzee mmoja wa UN wa Kizimbabwe anasema atahakikisha ndoa haifungwi na kwa kuanza kaingia kwenye mawasiliano yote ya huyo baba na kumpelekea kichambo hadi kwa mabosi zake UN ... Na ametangaza kiama cha matusi kwa yeyote atakayetangaza hiyo ndoa kwenye page yake ataifahamu kama laki si pesa katika awamu hii ya Tano.
Kuhusu Mama Rita Mlaki anamtukana kwasababu binti yake pekee Nambole sijui anashinda kwenye page ya kichwa panzi kumtukana Mange, Mange anasema alishawahi kumtukana huyo mama hadi alimfuata analia amsamehe akamwacha, lakini anasema huyo mama Mlaki ameshindwa kumdhibiti huyo binti yake wa miaka zaidi ya 40 ambaye hajaolewa na anaishi kwao kumtukana Mange kila siku. Kama huamini pitia pages za wanaomtukana Mange utamkuta binti wa Mama Rita akimtukana Mange.....Mange kasema huyo binti akinyamaz naye atamwacha mama ake na baba ake, na anamtukana huyo mama sababu huyo binti hata akitukanwa ni don bother !!!
inafaida gani sasa mwisho wa siku utaanza kupigana na maadui ambao amewatengeneza yeye mwenyewe.

nashauri akapimwe homa ya dhika haraka sana
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Kwani aliwahi kukutukana wewe mtoa post?
Kama anawatukana watu wengine,wewe achana naye.Hujui kwanini anawatukana hao RAIA.
 
Hata yule jamaa wa Ze Utamu alikuwa anajidanganya hivi hivi,mwisho alipotea kabisa

Zile enzi za kikwete, alikua na mahusiano mazuri na mataifa . Hivyo ombi lake lilikubaliwa ...leo dio rahisi
 
Swali 1.wakati ule anamtukana.Lowassa wala hakukuwa Na Vitisho Sijui tumrudishe Sijui.nini.Ina Maana ninyi ndo MNA Moyo..Haaa haaa Mange kama Osama kwa Wamarekani.Ila wengine tunafurahi mana angalau tunapata anayetusemea Maana wengine ulisema kesho upo Rumande kama huna Milioni 7 Basi tena.Sasa MTU kama Mange.Ni lazima tumkumbatie Na kumuenzi.Maana anawatetea Na kuwasemea wanyonge.Yaani mi nasema.Mange kaletwa Na Mungu kwa jili ya Watanzania Wanyonge.Na Ujumbe unawafikia moja.kwa moja.Popote ulipo Mange kunywa Wine nitatuma Pesa kwa Worldremit.
 
Nimejaa tele kama pishi ya mchele wa Kyela.
Poa tupo Tupo Na jembe letu Mangenita.MTU peke anayetufikishia Kilio cheti.Mana wengine Ni.kama tumefungwa hakuna cha wawakilishi Bungeni Mana Ni.lock tu.Thanks Lord for Mangenita.
 
Huyu mtu amekuwa gumzo mitandaoni.Wengi wanataka kumfahamu angalau kidogo tu wasifu wake.Kwa maana anaonekana ni jasiri wa kuandika mambo magumu ya watu muhimu ya kibinafsi bila woga.Yeye ni nani?
 
Kwanza napenda nimpongeze huyu Dada. Ni mwanamke wa shoka kwa kweli, she is fearless , na si mnafki yani, anatusaidia sana wanyonge kufikisha malalamiko yetu kwa Serikali. sio kama hawa mastaa wa bongo movies kwa sahani za wali wanatupia mitandio ya kijan na kushawish watu kufanya maamuzi yanayotucost sasa.

Asante kwa kutuwakilisha vema kule instagram maana watu walizoea Kule ni umbea tu. Yaani sometimes serikali na magu wanazingua nawaza nitasemea wapi sasa hivi sheria kila kona ghafla Boom! naona Dada yangu huyu kashapost vyoote na vingine juu.

Kwa kweli she is a national Hero when it comes to politics. Nampongeza sana namwambia huko alipo ajiandae tu tukichukua nchi keshokutwa tutampa kitengo pale ubalozi wa marekani aingie tu kwenye system awanyooshe. Mange ukikutana na Dokta C laa huko mwambie hakufanya fair huku sasa hali ngumu. Jamani mfikishieni ujumbe huu mwambieni akaribie na jamii forums tujadili jadili siasa kidogo.
 
Napenda kutoa ushauri kwa serikali yangu pendwa, hasa kwa mtukufu Rais wangu JPM, kumekuwa na wimbi kubwa la sintofahamu juu ya Utata wa vyeti vya bwana Paul Makonda, ambaye ni Daudi Bashite.Kuwa anatumia vyeti ambavyo sio vyake.
Aidha tayari watumishi wengi wa uma wameachia ngazi kwa kosa hilo kama Rais ulivyo agiza.
Mbali na hayo sasa zimeibuka tuhuma juu ya Mkuu hyu wa mkoa, wa Dar kuwa vita aliyokuwa akiendesha ya madawa ya kulevya.. Ilikiwa na maslahi binafsi ya kujimilikisha mali,
Mwanadada Mange kimambi ametoa taarifa za ndani sana hata ushahidi wa kadi za magari na aina ya magari yenyewe kwamba Mh. Alihongwa na hao walioitwa katika list ya Madawa ya kulevya.
Hii ni kashfa mbaya sana maana ushahidi umewekwa hadharani...

SWALI.
1. nani anaempatia Mange data za ndani kiasi hicho mpaka za TRA?

2. Kwann tuhuma hizi hazichunguzwi na hata kuchukuliwa hatua?

3. Je? Kwa hili serikali haichafuki?

Viongozi wangu wa serikali ya CCM tuamke.. Maana tunawapa wapinzani ground ya kutuchapia..
Hili la huyu jamaa ni bomu kubwa mbele yetu. Tusiogope aibu VIPI KAMA WATU WOTE WALIO FUKUZWA KWAAJILI YA VYETI WAKAUNGANA NA KUDAI KUONEWA MAANA HUYU HASHUGHULIKIWI?
***********
Ushauri unaweza kufuatwa au kuachwa.
Hii ni juu yenu.
 
Habari zenu wana jamvi pendwa.

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa updates zote zinazoendelea nchini haswa jijini kwa mkuu "D"
Kuna huyu binti Mange Kimambi nimekuwa nikifuatilia sana tena kwa kina uchambuzi wake kuhusu masuala kadhaa au ngoja tu niite "upelelezi" wa masuala fulan fulan na nikagundua kwamba ni mtu mwenye uwezo mkubwa na wa hali ya juu sana katika masuala ya upelelezi ukizingatia na utoaji wa evidences pia.
ushauri-- kama wazee wa kitengo cha intelijensia mtapata bahat ya kuusoma uzi huu embu basi jaribuni kumchukua kijana maana anaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwenu na kwa taifa pia. Ahsante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom