Who is next ?

Tumeshazoea maana haya mnapoongiza ninyi sisi ni shida, kuuawa na kutekwa kama kawaida. Hivyo kwetu itakuwa kawaida. Kama hujui watu wanateseka kamuulize Kabendera
Kabendera is getting what is right to him. Kwani wewe hujui hao Wamarekani wanamtafuta Snowden, Marekani mwenzao wamshughulikie kwa makosa kama ya Kabendera? Thanks God the Russians saved him!
 
Wakitaka wafunge hadi ubalozi, wakate misaada nk... Uone kama Tanzania haitakuepo. Tuache uoga, tuache kuabudu. North Korea ameweza, Cuba aliweza sisi tuna nini?
Africa tuna demokrasia yetu, tuna Uhuru wetu... HATUWEZI KUA MASHOGA KISA MISAADA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e
Ndugu usijiaminishe kwenye hili. Hakuna uchaguzi mgumu kama wa mwaka huu.
Hivi ninyi nyumbu mbona mnasahau haraka? Mwaka 2015 hamkusema lazima mabadiliko yatokee hata kwa kuchagua jiwe? Ikawaje? Endelea kutamba kwakuwa uchaguzi bado uko mbali, lakini baada ya uchaguzi, jipange kwa hoja za kuibiwa kura na tumezizoea pia.
 
aya ya mwisho ndio nzito kuliko zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…