Who is next ?

Kwa maelezo yako bora kuwa kama Libya eti kisa Marekani kakasirika sio? Basi sawa na iwe hivyo tuone.
 
Sababu zake kuwa ni mbili; kuzuia ushoga Dar na kudhibiti madawa ya kulevya. Wewe binafsi unayeshabikia Makonda kupigwa ban kuna mojawapo uli miss sio?
Anazuiaje ushoga wakati yeye mwenyewe ni shoga?
 
Ndio mnavyo jidanganya huko misikitini baada ya swala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna fursa RC anazikosa. Bado kijana mwenye ndoto, leo akipata ubunge /uwaziri /urais maana yake majukumu kama yatahitaji akafanye ndani ya US basi hawezi tena. So tuwe makini badala ya kumpotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kufanya "vizuri" mpaka uende Marekani? Hauwezi kwenda Sudan Kusini na bado ukawa kiongozi mzuri?
 
My wish list.

..IGP.

..DPP.

..RPC Dsm.

..RPC Dodoma.

..Mwigulu Nchemba.

..Kangi Lugola.

..Suleiman Jafo.

Umemsahau huyu jamaa wa bungeni huyu aliyekaa sana India hospital huyu ndugu
 
Lakini kwanini so Makonda, sio waziri wa Mambo ya nje, wala mwajiri wake / msemaji wa serikali wameonyesha kukerwa na hii ban ya muheshimiwa Makonda?
Serikali yetu haikurupuki kwenye kutoa matamko.
 
Jiwe alikosea kuanza kila kitu upya kama vile ndo tumetoka kupataa uhuru. Mambo ya ubeberu yalimshinda Nyerere tukapanga foleni ya unga JPM anayaanzisha tena.
Na jiwe ndo tatizo, hao wengine wanatumwa na jiwe kufanya wafanyayo.
 
Hamna ubavu huo
Hiyo ni vita ya kiuchumi. Kuzuiwa kwa makinikia kumeiganya Bei ya GOLD duniani kuyumba. Wanahofia sheria mpya zitawa affect sana wao. Wanatafuta mzungumzo na sisi ili tulegeze sheria zetu.

Haya mambo ya haki za binadam kama akina Zitto wanavyo dai, ni pumba za jalalani. Trump kwa pressier da wahisani wa Barrick wanataka Tanzania ilegeze kidogo mashart yake.

Na wa European walipata msuko suko huo, wachina nao ilikuwa hivyo hivyo. Trump anataka ku make a good deal with Tanzanians as he has done with all the other potential business opponents like EU and China. Now Tanzania is on the list, so it is our turn now to negotiate with the big Boss.

Msitie shaka wazalendo. Trump anataka kuwasaidia Clients wake.

Halafu watanzania mwipandao Amerika imekulankwenu sasa. Mlimzomea Makonda sasa kumbe na nyie mmo kwenye mkumbo vile vile!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uharo haufai hata kwa mbolea. Mnatetea Jiwe akili mnaziacha chooni kabisa
 
Pumba kali sana hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…