Hiyo ni vita ya kiuchumi. Kuzuiwa kwa makinikia kumeiganya Bei ya GOLD duniani kuyumba. Wanahofia sheria mpya zitawa affect sana wao. Wanatafuta mzungumzo na sisi ili tulegeze sheria zetu.
Haya mambo ya haki za binadam kama akina Zitto wanavyo dai, ni pumba za jalalani. Trump kwa pressier da wahisani wa Barrick wanataka Tanzania ilegeze kidogo mashart yake.
Na wa European walipata msuko suko huo, wachina nao ilikuwa hivyo hivyo. Trump anataka ku make a good deal with Tanzanians as he has done with all the other potential business opponents like EU and China. Now Tanzania is on the list, so it is our turn now to negotiate with the big Boss.
Msitie shaka wazalendo. Trump anataka kuwasaidia Clients wake.
Halafu watanzania mwipandao Amerika imekulankwenu sasa. Mlimzomea Makonda sasa kumbe na nyie mmo kwenye mkumbo vile vile!
Sent using
Jamii Forums mobile app