Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Let's wait. Ila kumbuka Marekani sio mwanachama wa The Hague. Hivi kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let's wait. Ila kumbuka Marekani sio mwanachama wa The Hague. Hivi kwanini?
Kamuua nani kwa mfano!?Swala sio kuzuiwa kuingia usa , swala kubwa ni sababu zilizo tolewa.
Wameitangazia dunia kwamba Tanzania kuna kiongozi aliye karibu na mtukufu anaye wapokonya watanzania haki ya kuishi kwa maana nyingine anaua watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Who? Me or you?Bogus.
Sent using Intercontinental Ballistic Missile
Who? Me or you?Bogus.
Sent using Intercontinental Ballistic Missile
Mkuu ongeza bidii kwenye mafunzo yako ya ngumbaru. Muda si mrefu utajua kusoma, kuhesabu na kuandika vizuri tu!!! Kazana. Sawa?
Hawa Americans tuwakomeshe,tufunguwe kile kituo cha polisi pale jirani yao tuwasweke ndani masaa twenty four.Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Time will tell!
Unarahisisha!Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Akili yako ni ndogo sanaInamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Scrap???Unaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.
Zaidi ya hayo ni majambazi wakubwa. Kila kitu kwao ni ubabe tu. Wakafie mbali huko!
Wewe subiri wachina waki introduce digital money hapo ndiyo waamerika watakuwa wamekwisha kabisa. Wana nini cha ku offer zaidi ya silaha? Amerika ni scrap!
Sent using Jamii Forums mobile app
You have guts kwakweli, unaiongelea Marekani kama kijiji flani hivi huko Sumbawanga ndanini.Tatizo lako hujui kitu. Unafikiri wewe ulo salama. Chochote watakacho kifanya kitakupata wewe na familia yako inayo kuzunguka. Wewe endelea tu kushabikia matendo yao.
Amerika ni Taifa ambalo lina Tapatapa kwa sababu linafikia ukingoni. Hawana kitu tena. Wairan wamewaonyesha na wameshindwa kufanya kitu. Sasa wakituchokoza sisi wajue kuwa sisi ndiyo tulio wahifadhi Black Panther.
Walirudi makwao baada ya ukombozi wao. Tuta wa activate tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Let's wait. Ila kumbuka Marekani sio mwanachama wa The Hague. Hivi kwanini?
Kamuua nani kwa mfano!?
Mkuu ongeza bidii kwenye mafunzo yako ya ngumbaru. Muda si mrefu utajua kusoma, kuhesabu na kuandika vizuri tu!!! Kazana. Sawa?
hivi ni kichwa au kiatu mchina anayekuja kwako kujenga barabara anakunyima ujuzi unakuwa kibarua anakupa bonanza unamrudishia pesa zake mchina huyu amabaye nje ni social ndani ni capitalist akili zako kweli zimegota asia sio watuUnaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.
Zaidi ya hayo ni majambazi wakubwa. Kila kitu kwao ni ubabe tu. Wakafie mbali huko!
Wewe subiri wachina waki introduce digital money hapo ndiyo waamerika watakuwa wamekwisha kabisa. Wana nini cha ku offer zaidi ya silaha? Amerika ni scrap!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa aisee kila mtu alipewa akili yake....Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!