Who is next ?

Who is next ?

Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Akili yako ni ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.

Zaidi ya hayo ni majambazi wakubwa. Kila kitu kwao ni ubabe tu. Wakafie mbali huko!

Wewe subiri wachina waki introduce digital money hapo ndiyo waamerika watakuwa wamekwisha kabisa. Wana nini cha ku offer zaidi ya silaha? Amerika ni scrap!

Sent using Jamii Forums mobile app
Scrap???
Unaiongelea Marekani unajua!
Au ukanawe uso kwanza akili ikae fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako hujui kitu. Unafikiri wewe ulo salama. Chochote watakacho kifanya kitakupata wewe na familia yako inayo kuzunguka. Wewe endelea tu kushabikia matendo yao.

Amerika ni Taifa ambalo lina Tapatapa kwa sababu linafikia ukingoni. Hawana kitu tena. Wairan wamewaonyesha na wameshindwa kufanya kitu. Sasa wakituchokoza sisi wajue kuwa sisi ndiyo tulio wahifadhi Black Panther.

Walirudi makwao baada ya ukombozi wao. Tuta wa activate tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
You have guts kwakweli, unaiongelea Marekani kama kijiji flani hivi huko Sumbawanga ndanini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani siyo danganyika kila mtu ana mamlaka ya kutoa tamko la serikali.Huyo Secretary of the state ndiye anaye-issue state's statements.
Amka,kumekucha yakhe.
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.

Zaidi ya hayo ni majambazi wakubwa. Kila kitu kwao ni ubabe tu. Wakafie mbali huko!

Wewe subiri wachina waki introduce digital money hapo ndiyo waamerika watakuwa wamekwisha kabisa. Wana nini cha ku offer zaidi ya silaha? Amerika ni scrap!

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi ni kichwa au kiatu mchina anayekuja kwako kujenga barabara anakunyima ujuzi unakuwa kibarua anakupa bonanza unamrudishia pesa zake mchina huyu amabaye nje ni social ndani ni capitalist akili zako kweli zimegota asia sio watu
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Daa aisee kila mtu alipewa akili yake....
ndio utamu wa hii dunia
 
Back
Top Bottom