Who is Shivji mpaka asikosolewe?

hao wenyewe DPW (waarabu wa dubai) kwa mujibu wa ibara ya 7 ya katiba ya nchi za falme za kiarabu, 1996 dini yao ni Islamic, na sheria zao zitumikazo ni Sheria za kiislamu (sharia), lakini mkataba wameandika kwa elimu ya kimagharibi ( western education)

Ndio maana tunasoma kwa sheria zinazotambulika kama ulivyo mkataba huo
 
Mi nasema hivi akili ni inborn siyo Madara haya ya wazungu. Mi Nina akili ya asili kumzidi Shivji ila yeye kanizidi madarasa tu
 
Aisee.![emoji848]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Je kwanini iwe kwa (huyu #2)/ yeye na sio hawa wengine?

 
Umeandika upumbavu sana, yaani elimu ya kipindi cha Nyerere ni spoon feeding??

BRN ilianzishwa kipindi cha nyerere??

Siku hizi elimu ni simple sana, mpaka bachelor degree hazina thamani kabisa
 
Kwani yeye kaandika journal ya mwisho mwaka gani
 
Kweli mabumunda yanayosaka teuzi yako mengi.
 
Umeandika upumbavu sana, yaani elimu ya kipindi cha Nyerere ni spoon feeding??

BRN ilianzishwa kipindi cha nyerere??

Siku hizi elimu ni simple sana, mpaka bachelor degree hazina thamani kabisa
Labda ya SAUT
 
Sasa kama sio mwanasheria na unakili hujaelewa, unapinga nini??

bandiko lina maana gani?? au kwa kuwa una simu tu na stress za maisha ndio unakuja kushusha uzi??
Uwekezaji ni muhimu sana regardless how umefanyika. Tumechoka na huu umaskini wa kujitakia. Mbaya zaidi wachache wezi wa bandari ndo wanaonufaika at the expense of the majority. Ilikuwa kwamba ukiajiriwa bandarini basi umeula. Sasa basi
 
Hiyo akili yako mbon huitumii kujenga hoja??? unakuja na personal attack??

HIZO NI AKILI ZA KUVUKIA BARABARA TU
Kwa akili yangu kubwa naona uwekezaji ni muhimu sana regardless umefanywaje mana tumeibiwa sana na nyie wachache mlioajiriwa bandarini. Sasa basi
 
Zile siyo akili ni kukalili tu na kuwatusha watu for nothing.

Wewe pingana na hoja zake kwa kuweka hoja zako. Hao unaodhani washindanishwe naye, yy kawafundisha.

Usimshambulie yy kama mtu. Anayo haki ya kutetea nchi yake kama ilivyo kwa wewe unaye ongea ugoro hapa, hata neno kariri unaandika kalili kisa umerushiwa laki mbili ili umtukane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…