Who is the best Ronaldo?

Daaaah ahaaaaah wacha ni cheke,maaana umeshanza kuwa kituko cha karne, hakuna kama Cr7 na hatakuja kutokea,kama messi ni god of football it's OK,but hawezi kuwa GOD of football,ko bado Cr7 greater than messi ok go and sleep.
 
Wewe mkuu unajua mpira nimeiona cr7 na zizzou hapo , sijaona figo na Michael laudrap hapo
 
Unakosea sana mkuu tena sanaaaa.
Gaucho legendary kaka yani jamaa kashinda ballon dor ktk kundi la magwiji wengi.
Narudia tena mchukue cr7 mrudishe ulimwengu wa kina Gatuso mzee na Zidane uone kama angekwapua sifa yeyote.
Acha masihara kaka.
 
Akikujibu nishtue Mkuu,maana Alves ndio Mchezaji pekee aliechukua makombe mengi kuliko Mchezaji yeyote yule kwenye sayari hii.

hahaha!! Yaani mtu anapima ubora kwa kuangalia idadi ya vikombe halafu hapo hapo anapuuza kikombe kikubwa kama world cup huku akivipa uzito vikombe vingine hasa champions league.

Sasa kwa mantiki yake, kama anabisha Dan Alves sio bora aje atwambie hapa kwanini sio bora kuliko wote maana yeye kachukua kila kitu isipokuwa tu hiyo World cup ambayo jamaa kaamua kuipuuza!
 
Daaaah ahaaaaah wacha ni cheke,maaana umeshanza kuwa kituko cha karne, hakuna kama Cr7 na hatakuja kutokea,kama messi ni god of football it's OK,but hawezi kuwa GOD of football,ko bado Cr7 greater than messi ok go and sleep.
Aiiii pole yako naona unaongea kiuhemko pasi na facts.
Pole sana tena sanaa.
Cr7 atabakia kuwa mchezaji bora ila messi atabakia kuwa Alien of football.
Kamuulize modric alisema nn kuhusu hao watu wawili.
Ova
 
Nikitaka kuongelea Competition ya akina Gaucho na wataalamu wote enzi hizo kwakuwa umeongelea inatosha.

Tatizo kubwa la Wabrazil ni starehe.
 
Issue kubwa ya watu wasiofahamu mpira wanahusianisha Mpira na chenga, ndio Tatizo kubwa la humu jukwaani, na Hata huko mitandaoni kwenye site za changanyikeni,

1. Ronaldo katika peak yake kufunga Goli yard 30 ama 40 ni kitu Cha kawaida, na sizungumzii magoli ya kuchop kipa katoka unamchungulia, nazungumzia shuti la nguvu linalomshinda kipa Golini ambaye Hata hajatoka, mechi nyingi amefanya hivi mfano mzuri ni robo fainali UEFA mechi na Porto.


2. Ronaldo anaruka juu na kunata kwa sekunde, sijawahi ona Mchezaji anayefanya vitu Kama hivi, anaruka juu zaidi kushinda average NBA players, ambao Hawa wa basket Kuruka kwao ni Attribute muhimu.



3. Hana weakness ya kufunga, Kuna magoli ya penalty, magoli nje ya 18, Free kick, Goli la mguu wa kushoto, mguu wa kulia, Goli la kichwa, tiki taka etc kila Aina ya Goli linalofungwa na yeye anafunga, complete Forward.

4. Speed ya Ronaldo, ni Unreal, even at Age of 33, mwaka jana Kombe la Dunia jamaa alikuwa ndio fastest player, tulimuona Katika ujana wake akitanguliza mbele Mpira mshindane ujue kakuacha, na sio mbio akiwa katika hio speed anaweza fanya chochote iwe ni kupiga shuti, kupiga chenga etc.
 
Edson Arantes do Nascimento ndie Best and Greatest Footballer of all time mwite PELE sio huyu Pygmy .
 
Wao wanadhani mchezaji bora ni yule mwenye kumiliki mpira, chenga na mbwembwe nyingi!! Ubora wa mchezaji ni zaidi wafikiriavyo wao, lazima tuangalie mchezaji nini kafanyia mchezo wa soka, na ndio maana nikasema kwangu wote ni wachezaji bora.
 
Luis nazario ni namba 9 bora,ni bora akabwe na beki mmoja anaweza akakosa goli,
Lkn akikabwa na mabeki 2 au 3 anakuwa mbaya zaidi na hakosi goli,
 
Ronaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili

Vipi waislamu hamjui kucheza mpira
 
Well said Mkuu,hawa wakina Mesi na Ronaldo wangekuwa kwenye ule ulimwengu ambao mpira ilichezwa na Wanaume wa shoka kama hawa wasingepata hizi sifa hizi wala tuzoView attachment 1164095


Wange, tunge, ninge mara nyingi maneno haya hutumika kwa wabongo tu. Nikuulize swali! Why Messi alipotua pale camp nou jamaa yako Gaucho akaflop once likawa mzigo hata kocha mwenyewe akaamua amuondoe? So Kum-compare Messi na hao vipodozi ni kumvunjia heshima, punguzeni mihemko! Kila kitu kinajionyesha Messi ana vitu vyote ambavyo huvipati kwa mchezaji yeyote yule. Sikatai wako wapiga freeckick, skills, dribling, passes, magoli ya vichwa n.k, But Messi ni wapekee ana kila kitu. I'm so proud of KING MESSI kuwa shabiki wake nitawasimulia na wajukuu zangu kuwa "kulikuwa na mfalme wa mpira ni mmoja tu duniani"

Gaucho na R9 sikatai ni wazuri, lakini linapokuja swala la kuwashindanisha watatu hao R7 kawazidi.

About defences unanichekesha kijana, sijui umeanza lini kuangalia mpira 😀 Messi ameshakutana na akina Roberto Carlos n.k na kawanyanyasa wewe unaongea nini, kama ni chuki sio hivyo tena, Mungu hapendi.

Tazama hiki kipande Messi alivyowanyanyasa akina Cannavaro, Roberto Carlos n.k


Kisha tazama hiki kipande Messi alivyowanyanyasa Nesta, Fabio cannavaro and Roberto Carlos, tena washukuru Mungu wamestaafu na heshima zao kabla mambo hayakuharibika from La Pulga Man.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…