Who is the best Ronaldo?

Wewe jiulize timu yako inahitaji mchezaj mmoja wa mwisho, hapo utamchukua nani kilaka?
 
Tukubali tukatae talent ni muhimu sana wazee japo inatakiwa uongezee na hard working kidogo tu mambo yanajipa

Hawa watu watatu wapo vizuri ila wabrazil wawili wanavipaji enzi zao walifanya mpira uonekane rahisi, kuna mambo walikuwa wanayafanya mpaka unajiuliza wamewezaje wezaje Flavor muhimu Aisee kwenye Football huwezi kupata burudani kama mtu unapiga piga mashuti hovyo hovyo

Huyu Ronaldo wa ureno ni mpambanaji sana, yeye kazi kazi muda wote anafanya sana mazoezi Hongera zake, lakini hawezi kuwafikia hao wawili wenye vipaji
 
Kwa show game uwanjani kwa kweli mpaka leo sijaona kama gaucho sio messi wala cr7 anamkaribia ila ni vile tu alipendelea sana chini kuliko carrier yake, ukija kwenye mafanikio na kudumu kwenye ubora kwa muda mrefu basi hao wote hawajamfikia CR7!!
 
Vipi waislamu hamjui kucheza mpira
Dah bro unapenda kuropoka.
LIST YA MUSLIMS PROFESSIONAL PLAYERS;
1)Mohamed Salah liverpool.
2)Paul Pogba Manchester United.
3)Riyad Mahrez Manchester United.
4)Nabir Fekir.
5)Nuri Sahin.

Hao wanakutosha.
 
Umemaliza kaka
 
Ila sijaona akifunga hata magoli 80 ktk kalenda ya mwaka maisha yake yote ya soka.
 
Ukipewa option ya Mchezaji anafunga 80 kwa mwaka na msimu mwengine anafunga 40 na mwengine anafunga 60 kwa mwaka kwa miaka 6 mfululizo utachagua yupi?
Mimi nimemtolea mfano wa messi.
Messi kila mwaka anashinda magoli 40 kwenda juu ambaye ni mshindani wa R7 na messi ameweka record ya kufunga magoli 91 ktk kalenda ya. Mwaka kitu ambacho Ronaldo hakuwahi na hatowahi.
Umenipata hapo ??
Kama kuhusu magoli 40 messi anashinda 50+ na ni kila mwaka akipungua 40+ ila sijui mwaka huu cr7 kimempata kipi hata kuwa top scorer kwenye league ya vilema Serie A kashindwa .
 
Kwa kuzifunga Malaga na getafe? Tuekee Basi idadi ya Magoli against elites.

Na uzi huu haumhusu Hata Huyo jamaa ila kuonyesha uwezo wenu wa kujenga Hoja lazma mtoke nje ya Mada.
 
Kwa kuzifunga Malaga na getafe? Tuekee Basi idadi ya Magoli against elites.

Na uzi huu haumhusu Hata Huyo jamaa ila kuonyesha uwezo wenu wa kujenga Hoja lazma mtoke nje ya Mada.
Ahahaha real Madrid getafe??
Man united getafe??
Atletico madrid getafe??
Acha zako ww .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…