Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni bora!! Vigumu kusema nani bora labda utaje kwa mapenzi, ila kwangu wote ni wachezaji bora.
Dah bro unapenda kuropoka.Vipi waislamu hamjui kucheza mpira
Umemaliza kakaWange, tunge, ninge mara nyingi maneno haya hutumika kwa wabongo tu. Nikuulize swali! Why Messi alipotua pale camp nou jamaa yako Gaucho akaflop once likawa mzigo hata kocha mwenyewe akaamua amuondoe? So Kum-compare Messi na hao vipodozi ni kumvunjia heshima, punguzeni mihemko! Kila kitu kinajionyesha Messi ana vitu vyote ambavyo huvipati kwa mchezaji yeyote yule. Sikatai wako wapiga freeckick, skills, dribling, passes, magoli ya vichwa n.k, But Messi ni wapekee ana kila kitu. I'm so proud of KING MESSI kuwa shabiki wake nitawasimulia na wajukuu zangu kuwa "kulikuwa na mfalme wa mpira ni mmoja tu duniani"
Gaucho na R9 sikatai ni wazuri, lakini linapokuja swala la kuwashindanisha watatu hao R7 kawazidi.
About defences unanichekesha kijana, sijui umeanza lini kuangalia mpira 😀 Messi ameshakutana na akina Roberto Carlos n.k na kawanyanyasa wewe unaongea nini, kama ni chuki sio hivyo tena, Mungu hapendi.
Tazama hiki kipande Messi alivyowanyanyasa akina Cannavaro, Roberto Carlos n.k
Kisha tazama hiki kipande Messi alivyowanyanyasa Nesta, Fabio cannavaro and Roberto Carlos, tena washukuru Mungu wamestaafu na heshima zao kabla mambo hayakuharibika from La Pulga Man.
Ila sijaona akifunga hata magoli 80 ktk kalenda ya mwaka maisha yake yote ya soka.Issue kubwa ya watu wasiofahamu mpira wanahusianisha Mpira na chenga, ndio Tatizo kubwa la humu jukwaani, na Hata huko mitandaoni kwenye site za changanyikeni,
1. Ronaldo katika peak yake kufunga Goli yard 30 ama 40 ni kitu Cha kawaida, na sizungumzii magoli ya kuchop kipa katoka unamchungulia, nazungumzia shuti la nguvu linalomshinda kipa Golini ambaye Hata hajatoka, mechi nyingi amefanya hivi mfano mzuri ni robo fainali UEFA mechi na Porto.
![]()
2. Ronaldo anaruka juu na kunata kwa sekunde, sijawahi ona Mchezaji anayefanya vitu Kama hivi, anaruka juu zaidi kushinda average NBA players, ambao Hawa wa basket Kuruka kwao ni Attribute muhimu.
![]()
3. Hana weakness ya kufunga, Kuna magoli ya penalty, magoli nje ya 18, Free kick, Goli la mguu wa kushoto, mguu wa kulia, Goli la kichwa, tiki taka etc kila Aina ya Goli linalofungwa na yeye anafunga, complete Forward.
4. Speed ya Ronaldo, ni Unreal, even at Age of 33, mwaka jana Kombe la Dunia jamaa alikuwa ndio fastest player, tulimuona Katika ujana wake akitanguliza mbele Mpira mshindane ujue kakuacha, na sio mbio akiwa katika hio speed anaweza fanya chochote iwe ni kupiga shuti, kupiga chenga etc.
Si kweli,walicheza wakati jamaa enzi zao zinaisha.Una hoja nzuri ,lakini hawa mbona sio WA siku nyingi , Ronaldo na Messi walikuwepo wanacheza tayari ,
Ukipewa option ya Mchezaji anafunga 80 kwa mwaka na msimu mwengine anafunga 40 na mwengine anafunga 60 kwa mwaka kwa miaka 6 mfululizo utachagua yupi?Ila sijaona akifunga hata magoli 80 ktk kalenda ya mwaka maisha yake yote ya soka.
Ibrahimovic still playingSi kweli,walicheza wakati jamaa enzi zao zinaisha.
Mimi nimemtolea mfano wa messi.Ukipewa option ya Mchezaji anafunga 80 kwa mwaka na msimu mwengine anafunga 40 na mwengine anafunga 60 kwa mwaka kwa miaka 6 mfululizo utachagua yupi?
Kwa kuzifunga Malaga na getafe? Tuekee Basi idadi ya Magoli against elites.Mimi nimemtolea mfano wa messi.
Messi kila mwaka anashinda magoli 40 kwenda juu ambaye ni mshindani wa R7 na messi ameweka record ya kufunga magoli 91 ktk kalenda ya. Mwaka kitu ambacho Ronaldo hakuwahi na hatowahi.
Umenipata hapo ??
Kama kuhusu magoli 40 messi anashinda 50+ na ni kila mwaka akipungua 40+ ila sijui mwaka huu cr7 kimempata kipi hata kuwa top scorer kwenye league ya vilema Serie A kashindwa .
Kabisaaa..Kwa kuzifunga Malaga na getafe? Tuekee Basi idadi ya Magoli against elites.
Na uzi huu haumhusu Hata Huyo jamaa ila kuonyesha uwezo wenu wa kujenga Hoja lazma mtoke nje ya Mada.
Ahahaha real Madrid getafe??Kwa kuzifunga Malaga na getafe? Tuekee Basi idadi ya Magoli against elites.
Na uzi huu haumhusu Hata Huyo jamaa ila kuonyesha uwezo wenu wa kujenga Hoja lazma mtoke nje ya Mada.