Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kwenye ndio unajibu apana, kwenye hapana unajibu ndioNdo yakoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ndio unajibu apana, kwenye hapana unajibu ndioNdo yakoje
Sasa wewe unajuaje kama jibu ni ndio na mimi nimejibu hapana?Kwenye ndio unajibu apana, kwenye hapana unajibu ndio
Mimi ni mbobevu wa human behavior 😁😁😁Sasa wewe unajuaje kama jibu ni ndio na mimi nimejibu hapana?
Kunywa kwanza chai.Mimi ni mbobevu wa human behavior 😁😁😁
Kupitia story yako ya jkt hadi naweweseka nikufaham
Kuwa na swahiba wa kike mwenye akili nyingi afu mtoto mkali ni kitu special Sana mm 😡
Mimi ni mbobevu wa human behavior 😁😁😁Sasa wewe unajuaje kama jibu ni ndio na mimi nimejibu hapana?
Majibu ya kisiasa unaona sasaKunywa kwanza chai.
Hahahaha!!! Gunman nipo mafichoni kwa muda na naipack na kureload machine Gun nikiwashe
Long time kitambo buddy
Duh kwakweli sijui Yuko wapi huyu mtu.wakongwe haoSijui alipotelea wapi huyu ndugu?
Asante sana mkuu na kwako pia🙏
😂😂😂😂Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya
Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...www.jamiiforums.com
Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni, hadi sasa nina Super market ya kwangu.
Wanawake wote mwisho ni hivyo labda mtu afanye surgery yanasimama mpk anakufa,😂Hizo nyonyo zingine km ndala
Nadhani yupo, hata last seen kwake ni ya mwezi ulio pita.Duh kwakweli sijui Yuko wapi huyu mtu.wakongwe hao
Aah okNadhani yupo, hata last seen kwake ni ya mwezi ulio pita.
Appreciation Kwako brother.
Kwa raha ipi mpka utake kula lunch buddy?mmekula mchana?? Sio kukalia tu buddy! kama buddy wako akutoe lunch