Who is your JF buddy? Ingawa haujawahi kumuona ila humu ndani ni mtu wako wa nguvu

Who is your JF buddy? Ingawa haujawahi kumuona ila humu ndani ni mtu wako wa nguvu

Sasa wewe unajuaje kama jibu ni ndio na mimi nimejibu hapana?
Mimi ni mbobevu wa human behavior 😁😁😁
Kupitia story yako ya jkt hadi naweweseka nikufaham

Kuwa na swahiba wa kike mwenye akili nyingi afu mtoto mkali ni kitu special Sana mm 😡
Kunywa kwanza chai.
Majibu ya kisiasa unaona sasa
 

Nilianza na punje ishirini za mchele nikawa natengeneza vitafunwa vya mchele nauza mashuleni, hadi sasa nina Super market ya kwangu.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom