Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

Mkuu don't just waste your precious time writing such imaginary theories about the things me and you know less about, infact not of our business. We're and we'll still remain one of his fans( and that is our business). In the meantime, let's mourn and send our condolences to his family, NBA family and others for such loss.
 
Ushawahi kuona wapi mchawi ana andika kiingereza?
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji24][emoji851][emoji74][emoji75][emoji81][emoji85][emoji86][emoji192]
[emoji205]

Jibu saaafi kabisa.. Jibu mujarab

Distributed Denial-of-Service
 
Hilo Malo neno
 
Wewe unadhani kama huyo mkewe ndiyo kahusika....anawezaje kupanga mauwaji ya binti yake kipenzi Gigi? Impossible!.

Msiba ulishatokea...tunyamaze tu.
 
Mnapenda kukuza vitu.. Kifo kikifika haijalishi utakufa vipi. Nature ndio inaamua mazingira ya kifo chako.
Plane crash inaweza kutokea kwa sababu nyingi sana. Acheni Conspiracy theories bongolanders, tafuteni maarifa na pesa

“Kifo kikifika haijalishi utakufa vipi”... Kwa kauli yako hata mtu akipigwa risasi akafa pale pale huyo kifo chake kinakuwa kimepangwa hivyo I stand to differ, kwa kauli kama hiyo hata crime investigation zisingekuwa zinafanyika. We all need to know that there is normal death (God panned death) na zingine ambazo zinatokana na hila za shetani kupitia watu wenye roho mbaya. Kwahiyo huyu jamaa aliyeweka huu uzi yawezekana yupo sahihi kuwa suspicious juu ya kifo kile.! Ni hayo tu


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Uongo wangu uko wapi maana naona umeamua kutumia utashi wako kuzungumza hapa...

Helcopter zina rate ndogo ya ajali ukilinganisha na ndege kubwa. Kinachokufanya uzisikie ajali za helcopter na kwa sababu watumiaji wengi ni matajiri.

Soma hiyo pdf uone accidents rates baina ya fixed wings airplanes na hizo helcopters

Hao waliotoa hiyo PDF ni US Helcopter Safety Team.

Uwe unabisha vitu na evidenceView attachment Facts4_Accident Rates.pdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo bwana. Akili zetu zimejaa mavi matupu.
 
Mimi nimezungumza fixed wing aiplanes kuwa na ajali nyingi kuliko helcopters wewe umekuja na helcopters kuwa risk.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Conspiracy theorists watasema Kobe bryant alikuwa Freemason na akakosea masharti, ndo maana kauliwa
 
Wabongo bwana. Akili zetu zimejaa mavi matupu.
Mkuu umetaja " mavi" umenipa nyege hatari. Mi basha ujue. Itabidi unipe 0713 now. Haina jinsi Nakufuata pm now now
 
Mnapenda kukuza vitu.. Kifo kikifika haijalishi utakufa vipi. Nature ndio inaamua mazingira ya kifo chako.
Plane crash inaweza kutokea kwa sababu nyingi sana. Acheni Conspiracy theories bongolanders, tafuteni maarifa na pesa
Wapumbavu sana hawa. Kazi yao kuleta uswahili kwenye kila jambo. Halafu eti moja kwa moja anamuhusisha ex wife yani uswahili uswahili.....ujinga ujinga tu
 
Relax Jamaa . Don't take it serious. We are not talking about ur mother here
Wapumbavu sana hawa. Kazi yao kuleta uswahili kwenye kila jambo. Halafu eti moja kwa moja anamuhusisha ex wife yani uswahili uswahili.....ujinga ujinga tu
 
Mbona hata Filikunjombe alifariki kwenye Chopa?.
Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…