Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

 
Yani kila kitu wanajua aisee...!
Mnapenda kukuza vitu.. Kifo kikifika haijalishi utakufa vipi. Nature ndio inaamua mazingira ya kifo chako.
Plane crash inaweza kutokea kwa sababu nyingi sana. Acheni Conspiracy theories bongolanders, tafuteni maarifa na pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimezungumza fixed wing aiplanes kuwa na ajali nyingi kuliko helcopters wewe umekuja na helcopters kuwa risk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoongea ndicho ninachopinga. Nilichoongea ndicho unachopinga leta hoja sasa maana utetezi wako hapa ni kama kukwepa hoja. Mimi nasema hivi fixed wing aeroplanes/airplanes zina rate ndogo ya ajari kuliko helicopters. Helicopters zina ajari nyingi zaidi ya ndege za kawaida.
 
Mnakera kujifanya hamjui kiswahili Hadi mchanganye na kiingereza ili muonekane wa maana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…